Umesahau na Tikiti maji,mbegu za maboga na ugali wa dona hapo Lazima binti apakwe mpaka atajutaHapa dawa ni karanga mbichi, parachichi, tangawizi, juis ya miwa na mboga zlizo na nyanyachungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Apakwe au abakwe? Sjakupata hapo mkuuUmesahau na Tikiti maji,mbegu za maboga na ugali wa dona hapo Lazima binti apakwe mpaka atajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni tetesi!Owkeey ngoja niendelee na puchu mie!Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Akizungumzia matokeo ya utafiti huo Mratibu wa Tafiti za Magonjwa Sugu kanda ya Afrika (WHO) Dkt Delphina Boaz amebainisha sababu "zingine" zinazopelekea upungufu wa nguvu za kiume mbali na vyakula na punyeto kua ni pamoja na Wanaume kupitishiwa kwa karibu na korodani mashine za kukagulia vifaa hatarishi vya usalama, mionzi na madini yanayotumika kutengeneza taa za Night Club (vimwekamweka), mionzi ya rimoti na komputa mpakato na ameeleza kwamba sababu zingine anazijua mgonjwa mwenyewe.
Bi. Delphina ametahadharisha kwamba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kupungua, kuisha kabisa au linaweza pia kukua na kupelekea uhanithi kutokana na mwenendo mtu.
Kazi kweli kweli.
An ant on the move does more than a dozing ox.
Punyeto ikikuzoea Utakua bwege Yaani Hata mwanaume mwenzio akikukazia Macho na KukuShika Tako anakosa maamuzi,Unacheka Cheka tu au kutetemeka..Kumbe ni tetesi!Owkeey ngoja niendelee na puchu mie!
Sikiliza Toka Kwangu!
Mimi nafikiri hii ndyo hoja ya msingi zaidi kuliko hata hizo za tafiti zao, mwanaume anatumia akili nyingi sana katika utafutaji wa mali/pesa ni ngumu sana kuirudisha akili katika hali ya kawaida katika mapenzi ili hali kuna watu wanakutegemea....kubwa hapa nadhani ni msongo wa mawazo hayo mengine nyongeza,kwa ujumla wanaume wa mjini wanakabiriwa sana na hili tatizo sio Dar pekee,hata miji/majiji mingine tatizo hili lipo
alafu kingine hawaweki bayana uwiano uliopo kati ya hamu ya kufanya tendo lenyewe kati ya wanaume na wanawake ili hali sikuhizi Tanzania pia kuna wanawake wanatumia toys kujichua kingine unaambiwa Tanzania mwanaume kwa asilimia kubwa ndio mwamuzi wa tendo lenyewe hebu tazama mkanganyiko ulivyo hapoMimi nafikiri hii ndyo hoja ya msingi zaidi kuliko hata hizo za tafiti zao, mwanaume anatumia akili nyingi sana katika utafutaji wa mali/pesa ni ngumu sana kuirudisha akili katika hali ya kawaida katika mapenzi ili hali kuna watu wanakutegemea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utafiti ulishafanywa sku nyingi na matokeo yalitolewa. Huyu mama ye amezungumzia matokeo "yale"...sio kwamba kafanya utafiti wakesijapata kuona tafiti za kijinga,such shallow information i have ever seen. Kwahiyo mtu anakaa ofisi na kufanya utafiti kutumia kichwa chake.
Vyote HAVISAIDII KAMA NGUVU IMEKWISHA Kuwa MPOLE tu!Hapa dawa ni karanga mbichi, parachichi, tangawizi, juis ya miwa na mboga zlizo na nyanyachungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa mkuu kama sisi ndyo waamuzi wa tendo na una kuta mwanaume hayupo katika mood ya kufanya mapenzi kwa kuiwaza kesho itakuwaje hapo ndipo wanapohisi labda hatupo vizuri, wakati jina factors kibao zinazochangia.alafu kingine hawaweki bayana uwiano uliopo kati ya hamu ya kufanya tendo lenyewe kati ya wanaume na wanawake ili hali sikuhizi Tanzania pia kuna wanawake wanatumia toys kujichua kingine unaambiwa Tanzania mwanaume kwa asilimia kubwa ndio mwamuzi wa tendo lenyewe hebu tazama mkanganyiko ulivyo hapo
Tatizo vijana luxury sana, wanagombania seat badala ya kusimama, mhindi wa kuchoma wanakula na limao na pili pili, hawafanyi mazoezi kazi kujipodoa , siku hizi hata kuvunja mhindi hawawezi wanakata na kisu, kula chips kwa toothpick halafu anataka sex wakati bao moja ni sawa na kutembea 7kms yeye hata kutembea kwa miguu 1km hawezi halafu anatafuta mchawi wa kuishiwa nguvu za kiume wakati yeye binafsi anaishi ki softly kama mtoto wa kike, wote warembo usoni.