WHO yalaumu Serikali ya Kenya kwa kuzembea kupima COVID-19

WHO yalaumu Serikali ya Kenya kwa kuzembea kupima COVID-19

Uki staajabu ya Musa utashangaa ya firahu i ...ss huko UG vipimo vya Covid 19 vimekuwa dili na chanzo cha mapato ya serikali kupima covid ss ni unalipia kiasi kama 240k UGx . Hii baada ya wahisani ss kuanza kuwithdraw ule msaada wa fedhaaa
Kinachomsumbua Museven ni uchaguzi tu, vinginevyo na yeye angeruhusu raia wake waendelee kula maisha toka zamani.

Sasa hivi kampeni zinafanyika kupitia media[emoji3][emoji3][emoji3]
.
Kina Bob wine wamebanwa kinyama
 
King of looting

Sent using Jamii Forums mobile app
-Kenya ndio ime-loot mafao ya wazee waliostaafu Tz.
- Kenya ndio ime-loot mazao ya Wakulima wa Koroshow.
- Kenya ndio ime-loot SGR Tz Hadi ikakosa kufunguliwa Novemba 2019.
- Kenya ndio ime-loot Port of Bagamoyo.
- Kenya ndio ime-loot battery za ATCL na kuzuia ifike South Africa!
- Kenya ndio Barrick Gold.
- Kenya ndio inaendesha uchumi wa Tz $63b GDP
 
Ukila hela ya mwanaume ni lazima ukubali kuliwa pia au uitapike!!!

Hakuna namna ingine
 
Kinachomsumbua Museven ni uchaguzi tu, vinginevyo na yeye angeruhusu raia wake waendelee kula maisha toka zamani.

Sasa hivi kampeni zinafanyika kupitia media[emoji3][emoji3][emoji3]
.
Kina Bob wine wamebanwa kinyama

😛 😛 😛
Kumbe majirani kila mmoja anajua kucheza na fursa zilizoletwa na korona.
 
Back
Top Bottom