Kinachomsumbua Museven ni uchaguzi tu, vinginevyo na yeye angeruhusu raia wake waendelee kula maisha toka zamani.Uki staajabu ya Musa utashangaa ya firahu i ...ss huko UG vipimo vya Covid 19 vimekuwa dili na chanzo cha mapato ya serikali kupima covid ss ni unalipia kiasi kama 240k UGx . Hii baada ya wahisani ss kuanza kuwithdraw ule msaada wa fedhaaa
-Kenya ndio ime-loot mafao ya wazee waliostaafu Tz.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wamekopa $3bilion, na wameiba zote mpaka vifaa vya misaada ya Jack Ma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachomsumbua Museven ni uchaguzi tu, vinginevyo na yeye angeruhusu raia wake waendelee kula maisha toka zamani.
Sasa hivi kampeni zinafanyika kupitia media[emoji3][emoji3][emoji3]
.
Kina Bob wine wamebanwa kinyama