Mara ngapi mnamtaja Magufuli katika hili suala la corona kwa kuona anawatoa sadaka watanzania kawaambia corona hakuna/imepungua na ndio mnasema sababu ya wananchi kuacha kuchukua tahadhari za kujikinga na corona.Mkuu ugonjwa huu hauko Tanzania peke yake.
Ugonjwa huu hauna uhusiano wowote na Tanzania kama nchi au Magufuli kama rais wala mtu.
Kujaribu kuuhusisha ugonjwa huu na Tanzania kama nchi au Magufuli kama rais au kama mtu, kwa hakika ni kushindwa kujitendea haki wewe mwenyewe na hao wote unaowahusisha nao. Yaani watu na nchi.
Nani akasirike kuna magonjwa yanaua kuliko Corona,Malaria ndio inaongoza kuua Africa lkn bado maisha yanaendelea kama kawaida cha msingi kuchukua taadhari kama tunazo zichukua kwenye Malaria.Ajabu ni kuwa kuna mijamaa ikiona habari kama hizi inakasirika kweli kweli na inaweza hata kupigana ngumi.
Jambo la kushangaza, wengine wanaposikitika wengine wana kasirika?!
Ikumbukwe kuna tofauti za wazi baina ya kusikitika na kukasirika kama ilivyo kwa kusikitika na kufurahi.
Ama kweli stajaabu ya kustajaabu lakini ya Firauni ni baba lao!
Waache waondoke,kuna wataliano kila siku wanaingia Zanzibar hapo ndio utajua kila serikali na mipango yake kwa raia wake.Ili wapate nini nyinyi au sisi tukihofu?
Marekani, China, Russia, UK nk wote wamehimiza raia wao kuondoka.
Si nchi jirani hakuna anaye tu envy. Hivi huyo anayetuvalia hasira kwenye yasiyokuwa enviable ni nani?
Angalau mifano tahadhari.
Habari zinazo sikitisha ni za Corona tu,ila za Malaria zinazoua watu wengi zinafurahisha ndio maana huandiki habari zake?Basi kwa sababu umesema mwenyewe kuwa hujui, nichukue fursa hii tena kukufananisha kuwa ipo tofauti ya wazi baina ya kusikitika na kukasirika. Vile vile kati ya kusikitika na kufurahi.
Fahamuni kuwa habari zozote mbaya kuhusiana na ugonjwa huu zinasikitisha mno na ndiyo maana tunaandika kila taarifa zenye mafunzo zinapopatikana.
Kukasirika huambatana na matusi na kejeli. Angalia mabandiko yenye matusi na kejeli kuwatambua nani wenye hasira na mabandiko na ugonjwa huu kujiuliza ni kwa maslahi yapi?
Acha kujiabisha, watu wanatoka na kuja huku, wewe unasema wameambiwa watoke. Nina mtoto mbichi hapa katika USA kuja kupata dushee baada ya mwezi anarudi, sasa ninacho kufanya ni kumpitisha kitaa ili ajionee kuwa korona hakuna huku.Ili wapate nini nyinyi au sisi tukihofu?
Marekani, China, Russia, UK nk wote wamehimiza raia wao kuondoka.
Si nchi jirani hakuna anaye tu envy. Hivi huyo anayetuvalia hasira kwenye yasiyokuwa enviable ni nani?
Angalau mifano tahadhari.
Acha kujiabisha, watu wanatoka na kuja huku, wewe unasema wameambiwa watoke. Nina mtoto mbichi hapa katika USA kuja kupata dushee baada ya mwezi anarudi, sasa ninacho kufanya ni kumpitisha kitaa ili ajionee kuwa korona hakuna huku.
Mara ngapi mnamtaja Magufuli katika hili suala la corona kwa kuona anawatoa sadaka watanzania kawaambia corona hakuna/imepungua na ndio mnasema sababu ya wananchi kuacha kuchukua tahadhari za kujikinga na corona.
Ugonjwa huu unakusumbua sababu una tv na una access na internet otherwise usingekuumiza kichwa
Sisi tupo mikoani huku tunaona hamna ugonjwa ni hofu tu
Kwa ufupi mkuu huu ndio uhalisia wa corona kama unavyoona,watu hawachukui tahadhali na hali ndio hii wengine wanaita ni bahati.Wewe unasema kawaambia watu Corona I?
Pia unasema kawaambia watu Corona imekwisha?
Bado hujui sababu ya watu walioacha kuchukua tahadhari?
Zikitajwa sababu za watu kutochukua tahadhari inakuwa issue?
Bado mnaona mko sawa?
Mtanzania wa leo mbona siyo yule wa jana?
"Tuko salama" by Magufuli
Ndio anakuuliza kwani wao hawaogopi kufa?"Corona ilimalizwa. Iko mbali kule. Tuko salama. Kwani sisi hatuogopi kufa?" Jambo la kheri mno.
Bado humjui aliyesitisha harakati zozote za tahadhari.