Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mbona wamechelewa kutangaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo kichaa…yani msoga gang mumuue afu msingizie corona?
Naunga mkono hoja. Kwa hili alicheza kama pele kabsaIla kwenye corona alicheza kama Pele ukiachana na mapungufu yake mengine
Alifanya kip cha ajabu zaidi ya ujinga?Ila kwenye corona alicheza kama Pele ukiachana na mapungufu yake mengine
Wewe huna akili, ungekuwa wanangu ningekubadilisha na njiwa wawiliWewe ndo kichaa…yani msoga gang mumuue afu msingizie corona?
Sukuma gang ni watu wa ajabu sanaWafuasi wa Dj Mbowe na wacheza Vigodoro wa pwani watakuja kukushambulia balaa.
Wewe unateseka ukiwa wapi? Ungekuwa na hata 1m bank usingekuwa Sukuma gangSawa nyie ni wajanja kwa kumuua…kuleni sasa keki ya nchi
Mkuu hao ndiyo wale wasiopenda mafanikio ya wenzao, yaani watu wa roho mbayaTunakula ndio we hupendi?
Hawana lolote.Waliutikisa ulimwengu haijapata kutokea kwa dhana na njama za makampuni ya dawa. watu wengi walikufa kwa hofu lakini hatimae imeshindikana.Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ugonjwa wa UVIKO-19 sio tena "dharura ya afya duniani".
Taarifa hiyo inawakilisha hatua kubwa kuelekea kumaliza janga hili na inakuja miaka mitatu baada ya kutangaza kiwango chake cha juu zaidi cha tahadhari juu ya virusi.
=============
The World Health Organisation (WHO) has declared that Covid-19 no longer represents a "global health emergency".
The statement represents a major step towards ending the pandemic and comes three years after it first declared its highest level of alert over the virus.
Officials said the virus' death rate had dropped from a peak of more than 100,000 people per week in January 2021 to just over 3,500 on 24 April.
Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus said "at least 20 million" had died.
This breaking news story is being updated and more details will be published shortly. Please refresh the page for the fullest version.
Kilicho, walio muua wanajulikana...Alicheza kama pele na ilimuua? Utakua kichaa wewe.
Ugonjwa wa dili tu huuNini kimelimaliza janga ilhali mapokeo ya chanjo yalikuwa hafifu vile na chanjo yenyewe ya kuhitaji booster kila leo?
R.I.P Mwamba,kwa muda mfupi uliokuwa Rais wa Tanzani,umewaelimisha Watanzania mambo mengi,hasa utapeli wa Corona.Aliyechanja ni ujinga wake tu,ukweli uliuweka wazi.Tutakukumbuka sana.
"Dharula" ndio nini?Ni dharura mkuu.Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ugonjwa wa UVIKO-19 sio tena "dharura ya afya duniani".