Who's next? Anafungwa Biashara,wanazimia msimbazi

yanga wanatabia mbaya kwa kweli yani wanakushikisha point 3 mkononi alafu wanakupokonya zote kuchukua wenyewe....ila comeback ya yanga ni ya hatari kama ulayaaaaaaa....!
mikia fc tugoli tumoja tu zidi ya mbao fc walishindwa kurudisha alaf mbona matangazo ya simba 4G siyasikii wala kuyaona siku hizi?
au imekuwa 4×0 G
 
Ushindi wa style hii unaraha yake,nilikuwepo taifa mechi ya Kcmc free kick ya Fei toto dakika ya mwisho na juzi game na Biashara ni raha sana maana unashangilia sana na unaondoka na points zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…