Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #21
We acha tu watasema yote msimu huuMikia wapo likizo kwa ajili ya mechi ya Nkana.
Match fitness watapata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu watasema yote msimu huuMikia wapo likizo kwa ajili ya mechi ya Nkana.
Match fitness watapata wapi?
Wanasonyasonya tuMnyama analiiiaaaaaa..............
Watafungua soda hasa pepsi na coca hadi ulimi uvimbe.Wanasonyasonya tu
Hizo hawana tangu zamani. Timu gani haijawahi kubeba kombe nje kama siiiiio mama wa nyumbani?SIMBA WANAVYOTESEKA KAMA WAMEKOSA NGUVU ZA KIUME MASKINI
Ushindi wa style hii unaraha yake,nilikuwepo taifa mechi ya Kcmc free kick ya Fei toto dakika ya mwisho na juzi game na Biashara ni raha sana maana unashangilia sana na unaondoka na points zoteyanga wanatabia mbaya kwa kweli yani wanakushikisha point 3 mkononi alafu wanakupokonya zote kuchukua wenyewe....ila comeback ya yanga ni ya hatari kama ulayaaaaaaa....!
mikia fc tugoli tumoja tu zidi ya mbao fc walishindwa kurudisha alaf mbona matangazo ya simba 4G siyasikii wala kuyaona siku hizi?
au imekuwa 4×0 G