Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee

Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo.

KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA UTOPOLOOO EEEH NI DHAMBI YA MOYOOOOO

 
Donat mwanza kuna nyimbo yao kali sana ya kicongo inafanana na hii.
Simba bana mambo mazuri mazuri tupu.
 
Donat mwanza kuna nyimbo yao kali sana ya kicongo inafanana na hii.
Simba bana mambo mazuri mazuri tupu.
ndo yeye kai modify tu kaweka maneno ya simba melody ni ileile, bana congo tosimbana maboko congo elonga eheeeeeee congooooo
 
Makelele yasiyo na maana. timu hizi zitafute nyimbo (anthem) ambazo zitadumu siku zote. nyimbo zinazobeba hisia kwa mashabiki, haya ni makelele tu.
 
Back
Top Bottom