Whozu-Huendi Mbinguni, ngoma kali sana.

Whozu-Huendi Mbinguni, ngoma kali sana.

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
Jamaa katurudisha bongo fleva ya zamani ....nimehisi nipo enzi hizo.

Heshima kwa Whozu, ngoma imetulia ubunifu mkubwa, inavutia kuusikiliza zaidi na zaidi....

 
Mtumishi unasinzia ibadani, inalia uongo hadi msibani.....huendi mbinguni.
 
Mimi nilikuwa nasikia Binti angu anamwambia Kaka ake "Ushafeli Huendi Mbinguni" kumbe wameshasikiliza huu wimbo.Ngoja nitafute Video yake niangalie
 
ila jamaa nae akafeli kwenda mbinguni kwa kutazama chura.
 
Back
Top Bottom