Whozu,Navy Kenzo waachia ngoma mpya

Whozu,Navy Kenzo waachia ngoma mpya

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Kundi la Muziki apa bongo speaking of Navy kenzo linaloundwa na wapenzi wawili,Emmanuel Mkono"Nahreel" na Aika Maleale, "Aika",

Dakika chache zilizopita wameachia Video yao mpya Inayoitwa Roll it,ikiwa na Viewes kama wanne hivi mimi nikiwa wa tano,,

Whozu nae kaachia Ngoma ake pamoja na video inayoitwa Roboti,hii video ina ubunifu mwingi na comedy pia,Director akiwa ni Joowzey,,,Enjoy the good music guys.

@ChaliiYaKijengeJuu
 
Back
Top Bottom