Why Africa girls think all white men have money?

Mwamwaa nimekupndraa kwanzia niite babe natangaza Nia nimempata mpenzi jamii forum nani Carrasco putin mwaaa mwaa

Oyaaa wahuni chaputa bye bye nishapata jibebi huku ana trako shape la dunia uno la kuvunja chaga jicho tamu limelejea kama anakula kungu guu la bia kifuani ndyo kbsa binti namba E
Chaputa bye bye
[mention]Unique Flower [/mention] nataka nikupende mpka Moderator waone wivu watupige Ban
 
Haya bhana yote maisha bwana asante so tuanzaje lini?
 
Wakuu nimeulizwa swali hilo hapo juu. Karibu kwa majibu.
Ukweli ni kwamba watu white na pesa ni kama pombe na mlevi pesa zinawapenda sana watu weupe kuliko weusi..

Kule zanzibar kila nyumba inapigania ipate chotara la kizungu au kiarabu wanaamini ukiwa na watu hao kwenye ukoo basi ni dalili ya kuneemeka na ndio ilivyo kwa wengi.
 
Haswaaaaah.
 

Ila hizo ni zana potofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…