Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hapana niliapa jf siwezi wapa faida yeyote Ile wale jeuri zaoUfafafanuzi tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana niliapa jf siwezi wapa faida yeyote Ile wale jeuri zaoUfafafanuzi tafadhali
Leta mwaya halafu tumtafute Mzungu atulee shida Ipo wapi kila kitu mtu awe muwazi
Kwasababu white man akija huku afrika na zile hela zao kidogo tu akizibadili anaweza kula bata la maana hapa bongo na kununua ardhi na kujenga nyumba hata kwa mwezi mmoja tu
Weupe wamejenga sana nyumba kwao na mademu zao tena kwa muda mfupi sana,yaan nyumba ya 30 mil inajengwa mchana na usiku
dada muuza acha hasiraJe kakamuuza mambooo dah huoni haya unagawa trakoo unanuka mxiuuu 🤮🤮🤮🤮
Siyo kosa lakoI am congolese from congo kinshasa[emoji120]
Kwa nini uulize swali kwa lugha ya "mizungu" halafu utake majawabu kwa lugha "nyeusi"?Hapo na weye umeonesha jibu umelikalia.Acha ushamba.Wakuu nimeulizwa swali hilo hapo juu. Karibu kwa majibu.
Ungebadili swali kwa lugha uliyopenda kupata majawabu.Swali nimeulizwa kwa kizungu ndomana nimelileta kama lilivyo boss
Sababu ni kwamba, zamani, kumuona mzungu huku Afrika, ni eidha;Wakuu nimeulizwa swali hilo hapo juu. Karibu kwa majibu.
Mwa mwa[emoji3059]
Sababu ni kwamba, zamani, kumuona mzungu huku Afrika, ni eidha;
1. Mtalii au
2. Padre
Watajwa hapo juu, wote walikuwa wanakuja na hela nyingi.
Kwa mapadre, walikuwa wanatoa misaada makanisani na maeneo mbalimbali ya vijijini na ha mijini. Mfano kule Peramiho kuliwa na Fr. Gothad na mapadre wengine wa kizungu, ambao kila mmoja kwa nafasi yake alitoa msaada. Na hii ilifanya iaminike kuwa kila penye kanisa pana misaada. Pale Songea enzi zetu tulikuwa tunatumwa na mama zetu tukiwa na kadi za kliniki za wadogo zetu na tulikuwa tunapewa maziwa kilo 5 na mitumba, bulga tena pale Jimbo kuu katoliki la Songea (nimekumbuka CALITUS) etc..
Kwa watalii, inajulikana kuwa anayekuja kufanya utalii ana hela. Imani hii ipo hadi leo.
Kwa bahati mbaya, siku za hivi karibuni wanakuja wazungu hata wasio na kitu, yaani sawa na sisi tu kiasi fulani. Lakini vichwani mwetu bado tunawawaza kuwa nao watakuwa na hela. Lakini hili huchochewa zaidi na viwango vya mishahara wanavyolipana wanapakuwa wanafanya kazi hapa nchini kwetu