Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
African Americans hawatembelei sana Africa (zaidi ya SA), lakini hakuna aliyewahi kunambia hawezi kutembelea Afrika kwa sababu ya njaa na magonjwa.
Lakini kwa vile wewe wamekwambia hivyo, nataka kujua ulijibu hivi. Hakuna njaa na magonjwa?
Duh Kuhani samahani sana...labda hujatembea sana kaka.
Mimi toka nimeingia humu miaka zaidi ya minane,toka niko
summer camp mpaka nafundisha high school...hio kauli unaisikia
kila unapoleta topic ya Africa..."they got bugs over there!!!". Kuna mama
mmoja niko mbioni namsuka na kila kitu safi lakini hio tripu ya Africa nd'o
bado inamsumbua...mbu na nzii wengiiii!!!!
You have to sit them down and reducate them first nd'o mue on the same level.
Bado wanaongea kuhusu zile sinema za Mohammed Amin highlighting the Ethiopian
problem.
Kuna wakati nilimtia nugu mmoja ndani ya gari langu tukaenda kutembelea mitaa
ya Detroit uswahilini na nikampa taarifa kuwa that scenario was worse than
where I came from!Kisha nikamweleza kua hizi bunduki zao na risasi wanazochapana
ni sawa tu na mikuki tunayofumana Africa tu.So there is a negative side of all places.
Kuhusu swala la njaa sikujibu kua hakuna njaa Africa na magonjwa...that is common
sense.All I did is showed him the folks on welfare na homeless kiba😵nce again
same scenario...differnt places.
Tatizo lao kuu ni elimu waliopewa shuleni na nyuzi wanazopata kupitia
vyombo vya habari.Once unamuelimisha mtu mwenye akili timamu, hua
anakuelewa na anakufagilia kila akuonapo.Ile shule niliokua nafundisha I
had to put that out there.kisha pia nikawaelimisha kuhusu nchi za Africa.
Their experinces with Nigerians has really hurt the image of Africa.
Kuna mmoja aliniambia kua hakujua waafrika ni watu poa kama nilivyomie,nami
nikamwambia asikonde na nitamjulisha to even better people.Basi nikasubiri
party ya wabongo na nikamleta.Jamaa hakuamini vile watu wanakamata
ulabu kwa roho safi na bure.Kisha there was this brotherhood he had never
experienced na kila tukiwa na party anataka awemo.Bado nimuonjeshe
Konyagi tu!!!!