Why African Capitalism Needs Changing

Kishoka acha longolongo, hivi unajua maana ya 'progressive' wewe maana naona unaendeleza 'reactionary' politics na hiyo PPP yako!

Companero,

Kwani kuwa na reactionary politics ni makosa? Je kinachosababisa Upinzani au guerilla movement ni nini?

Sasa kwa kuwa hukupenda kwenda kusoma kuhusu PPPT, nitakurahisishia uone premise ya PPPT ambayo inazungumzia kuwepo kwa mfumo sahihi wa haki na utu katika kufuata kanuni, sheria na Katiba.

 
What comes first, 'Agricultural/Agrarian revolution' or 'industrial revolution' - Kilimo Kwanza or Viwanda Kwanza?


Tatizo letu wadanganyika hatujifunzi toka historia yetu!! Huko nyuma tuliawahi kutilia mkazo wa kujenga viwanda katika development plans zetu; halafu tukaja kuacha na kusema kuwa tulikosea mkazo ungekuwa kwenye kilimo forgetting kuwa kilimo na viwanda vinategemeana. Nchi yeyote inayotaka maendeleo kwanza ni lazima iwe na uwezo wa kujilisha, na ilikuzalisha chakula cha kutosha ni lazima ziwepo nyenzo za kuzalishia ambazo hutoka viwandani; viwanda pia ili vizalishe vinahitaji raw materials kutoka kwenye sector ya kilimo!! consequently, sera kama za KILIMO kwanza will only suceed zikiendana na sera za kutilia mkazo relevant viwanda!! You need machines to produce corn and corn to produce machines, it is as simple as that!!
 
...Moeletsi Mbeki, a private business entrepreneur, has written a new book entitled 'Architects of Poverty' and subtitled 'Why African Capitalism Needs Changing'.

This is a must read book...
Nikikihitaji nitakipata vipi hiki kitabu?
 

Mchungaji unaongea na mtu anayefuatilia mada zako kwa kina - hiyo ya PPT nilishaiona toka ilipotoka mwanzo. Nikaicha kama ilivyo. Jina lenyewe tayari linaonyesha sio chama cha wananchi. Ni chama cha wateule. Tazama hata jina lake. Hivi Bibi yangu kule Vuathu ataelewa kweli mantiki ya jina hili, eti 'progressive'! Ndio nini hicho - Chama cha Waendeleaji?
 
Ilikuwa ni disaster tupu. Na labda unaweza kusikia tone yangu ya sasa imekwenda upande wa kulia mno kuliko hile ya DHB.

Du, naona umemuongoa na Mchungaji Kishoka - na yeye sasa anaung'ang'ania 'ukulia' wakati Neno linamwambia asiangalie 'kushoto' wala 'kulia' bali asonge mbele kuelekea Kanani nchi ya Ahadi!
 
. At least the poor Mwalimu tried State Capitalism!

State Capitalism is a contradictory term.

You cannot have capitalism when the State is responsible for deciding what citizens should and should not manufacture.

You cannot have capitalism when the system does not reward risk taking, hard work and entrepreneurs.

Nyerere's ideologies failed this country economically.

Tanzanians are too reluctant to make that admission, to say so is almost like committing treason.

Wazee walilitupilia mbali Azimio la Arusha na kitendo hicho kinaonesha kwamba Azimio lilifeli lakini husikii anayekiri kwamba lile Azimio lilikuwa bomu.

Mvivu na mchapa kazi hawawezi kuwa sawa. Kwa nini iwe mwiko kuwa na nyumba ya kupangisha wakati wengine wako tayari kufanya kazi masaa 60 kwa wiki na wengine wanapendelea kucheza bao masaa 60?

It was an ideological mess!!!
 

Tufafanulie unaposema Wateule, ni kina nani na wana mtazamo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…