mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
factNi kwa sababu Simba SC ni kipimo kikubwa kimaendeleo ya soka kwa miaka kadhaa sasa.
kwasababu mashabiki wake wana mdomo sana sasa dawa yao ndo hii,ni Yanga kuchukua vikombe vya kimataifa tuNashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
Maendeleo ya kuishia robo fainali au maendeleo yapi hayo?Ni kwa sababu Simba SC ni kipimo kikubwa kimaendeleo ya soka kwa miaka kadhaa sasa.
Una uhakika hata hilo kombe la losers uto atalichukua?
Mimi ni gempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.