Why always Simba?

Why always Simba?

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
 
Ni kwa sababu Simba SC ni kipimo kikubwa kimaendeleo ya soka kwa miaka kadhaa sasa.
 
Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
kwasababu mashabiki wake wana mdomo sana sasa dawa yao ndo hii,ni Yanga kuchukua vikombe vya kimataifa tu
 
Mimi ni gempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
 
Mmejibu tu bila kusoma au mmesoma kwanza ndo mkajibu…??

Au ni mimi tu ambaye SIJAELEWA…??
 
Mimi ni gempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.

Nashukuru HUJAMUWEKA SIMBA KATIKA KUNDI LA HAO WANAUME…!!! Umekubali kwamba Simba ni MWANAMKE
 
Back
Top Bottom