KhaaaaWest Africa watu wanajielewa
I doubt France has nothing to do with what is taking place in W.Africa.France Influence
Naunga mkono hoja yako mkuu. Ila naongezea kwamba wakati mwingine ni failure ya kitengo cha military intelligence kugundua hiyo mipango. Kuna nchi kitengo cha military intelligence kinafanya vzr kiasi cha wanajeshi kuwa waoga hata wa kuanzisha njama za mapinduzi.Hii inatokea pale serikali inaposhindwa kutekeleza maslahi ya wanajeshi. Wanajeshi huwa hawapindui kwa maslahi ya watu bali maslahi yao.
Maslahi yao yakiingia shida au wakiona muelekeo hauridhishi, au mtu akiwahakikishia maslahi bora zaidi ndipo hupindua.