Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #181
Kwa kifup mi naona anafanana na mwenzake wa magogon. Kama kwel 2nataka uongoz mpya Ikulu, bas mjue huyu hatakuwa mpya pale, kiutendaji.
Watu wameashaanza roho mbaya yaani point zote hamna hata yenye maelezo ya kueleweka zaidi ya kujificha nyuma ya misamiati mirefu tu....ukweli ni kuwa Membe au yoyote yule anahaki ya kujitutumua kwa makusudi au kwa kusingiziwa. Wacheni majungu na tusubiri 2015..
[MENTION]ha ha..wanakukumbusha disasater ingine ktk CCM.Hivi kuna namna ya kuwaangalia hawa mawaziri wa nje wanafanya nini?Naona ni mabalozi wazuri wa ujinga duniani.
despite hizo weakness huyu ndo rais wenu, wedha u like it or not, and the reason
is obvious, the president of URT is not elected by people/masses as such, but by a bunch of selfish party crooks with support of state apparatuses.......
Field Marshall ES...........angalau unakiri ile hotuba imemwangusha......................na kuhusu uzoefu wa uwaziri wa nje.........jk miaka 10 ya mambo ya nje na 27 in total kwenye baraza la mawaziri kabla y kuwa raisi lakini karibu sote tunamwona ni kilaza.........kumbuka malecela aliikamata hiyo wizara kwa miaka mingi lakini aliishia kuangukia pua..............
Nicholas Biashara wanayoitangaza ni kutununulia majengo kuukuu kwa bei ya kutisha...........khalafu kumtumia fisadi Mkapa kuwatetea mahakamani ya kuwa baraza la mawaziri lipo juu yasheria jambo ambalo siyo kweli...........
Omutwale......................waitu amutwale nkhaaaaaa......
- Brother unaonekana unawawakilisha watu wengi sana ni kina nani hao waliokuchagua kuwawakilisha ongea kwa nafsi yako cause humuwakilishi anybody hapa, au?
Es!
- Kumuona kwako Kiongozi kilaza wakati huna maamuzi yoyote serious ya taifa ni waste, again Rais bora haamuliwi na one speech at UDASA, sijasikia wala kuiona hiyo hotuba ila article yako ni good kwa Saigon Club sio hapa kwa Great Thinkers, kwa sababu ina mapungufu mengi sana academically, umeshindwa kuweka wazi kuwa UDASA ni nani katika hili Taifa na lini waliwahi kutuchagulia Rais kwa hotuba zao huko kwao, yaani this whole thing ni waste!
Es! ...........
Waitu Mkulu Rutashubanyuma,
Hiyo nakala yangu inafikisha Mwaka in the next two weeks. ilibandikwa tarehe 27th December 2011 14:56 kama uzi uliokuwa unajitegemea. Mod kwa hiana wakaiunganisha. I doubt they will do the same for your. .....amutwale akigabilo!.......
Field Marshall ES back to the topi c, please......................................mtu wako hauziki, period.............
Field Marshall ES When will you go back to the topic?
:censored: :focus:
Thats character assasination. inteligent people write without showing emotions. You flatly failed this one.
I don't think he is fit for that position I can challenge him for not speaking loudly and not taking any action for a small issue like that of money hidden outside the country as a responsible minister, if he will be given higher responsibility than that what should we expect?
This man is weak and unstable.
Froida.........................huku akijiamini lakini hana nguvu ya khoja.......................inasikitisha sana.
MchunguZI Discussing our potential leaders is part of analyzing the rot in our system that if Membe can be a president then our system is beyond reformation...............or a reason to reform it even more urgently.......so he is just a case study, though.......
- Simjui sana Membe, lakini ni haki ya kila mwananchi wa nchi hii kugombea anything, kwamba hauziki maana yake ni anauzika ndio maana umembebea bango bila FACTS za kitaifa, badala yake eti una facts za UDASA, who is UDASA kwamba ukitoa one speech huko unakuwa good or bad for President? ha! ha! never heard before!!
Es!
Mimi nina imani kwamba unapokuwa na ujanja wa kufikia hadhi ya kuchangia JF lazima uelewa wako uko kiwango fulani. Nasema nikiamini kwamba hawa viongozi walioko CCM sihitaji mtu anayenishawishi eti Lowasa anafaa, Membe ni kiboko, Pinda ni jembe, Sitta ni kiwango, nk. Yote hayo ya nini? Nawafahamu na nikipewa nafasi ya kusoma, sitapenda kukaa darasa moja na watu kama hawa!
Hayo yanayosemwa huko UDASA ni dalili tu! Au ni nyongeza sawa na kichaa anayetembea uchi, anapoonekana akila kamasi. Ni nyongeza tu!