Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Nani amemdanganya huyu kuwa ni presidential material? He's not!
[MENTION]
MzeePunch[/MENTION] tunawapasha lakini weapambe wake hawasikii la mkuu mwishowe ni kuvunjika guu lao......
 

MchunguZI........uko juu sana. Tatizo tuko wachache tunaoitakia nchi yetu mema..........
 
Last edited by a moderator:
Nani amemdanganya huyu kuwa ni presidential material? He's not!

- Well, the question here ni nani amekudanganya kwamba Membe sio Presidential Material, kwenye article naona mmetaka sana kuonyesha mna elimu, sasa hii elimu mlisomea wapi ambayo hamkufunidushwa how to balance a valid argument kwamba ni lazima iwe na two sides of the coin meaning mlitakiwa kuonyesha nani anafaa! Vipi mkirudi hsule tena japo kidogo tu!!

- Halafu ni simply childish kutaka kutuaminisha Great Thinekrs kwamba one speech at UDASA can determine nani anafaa na nani hafai kuwa Rais wetu, simply childish!!

Es!
 

Umetumia lugha ngumu sana,nadhani dhima ya kuandika ulichoandika ni kuelewesha wanaforum waelewe na sio kujua umahiri wako kwenye lugha ya kikoloni . Ujumbe huu ungeuwasilisha kwa lugha laini ni ujumbe mahususi sana.

Umesisitiza Membe atumie lugha ya kiswahili kufikisha ujumbe ukikosoa zaidi uwezo wake na umahiri mdogo wa kutumia lugha ya kingereza tena ukaenda mbali ukasema kingereza Baba Lao. Bado una fikra za kikoloni ,jitahidi kuwa na mwanzo yanayojitegemea unapojenga howa kuliko kujenga hoja kwa misingi ya chuki naubinafsi .

Mimi binafsi simuungi mkoa Membe na mbio zake za raisi ila sizani kama mengi uliyoyaandika humu yanamuelezea yeye .Kwa mtazamo wangu umejielezea wewe kwa jinsi gani humpendi Membe (lugha ya nyepesi ubinafsi na chuki)
 
This Guy, Membe, is too comedian, illusional, lost his reputation, won't able to lead.....!!!

He didn't demonstrate his capabability and nothing new he brought in since he became Foreign minister....

And FUNNY ENOUGH, he presented his speech FULL OF CONFIDENCE BUT EMPTY CONTENT, hana hoja.... anatumia lugha za kibusara na kujiamini 100% to fool us, but NOTHING, hoja hana.... utafikiri morani wa kimasai kwa kujiamini but hana hoja.....!!!

Pia despite being a minister, ni mtu wa maneno to no mtendaji....!! mswahili...!!!

I advice this guy, not even to be Presidential aspirant...!!

We can't afford 10 more yrs of uswahili.....
tunataka maendeleo......

Better EL by much far.....!!!
 
- Kwenu huwa mnakula kamasi? What is this?

Es!

Maana ni hii; Ukikutana na kichaa anayetembea uchi, baadaye ukaona tena akila kamasi, Utashangaa?

Maana ktk CCM yetu; Ukiambiwa Chenge, Lowasa, Pinda, Membe n.k kaiba pesa za waliokumbwa na mafuriko utashangaa? Mimi sitashangaa maana ndo tabia waliyonayo na ndivyo ninavyotegemea wafanye ktk madaraka yoyote waliyonayo.

Unaweza ukashupaa kuwateteta ingawa siamini kama kweli unanufaika na tabia yao.
 
- umeshindwa kuweka wazi kuwa UDASA ni nani katika hili Taifa na lini waliwahi kutuchagulia Rais kwa hotuba zao huko kwao, yaani this whole thing ni waste!

Es!

in the political context, UDASA is an interest group, sio kwamba wanatuchagulia Rais, ila they are trying to
build "public opinion" in favour of Mr membe, and to be realistic, it has an impact!
 

Instead of dismissing hoja as childish , why dont you come with an alternative arguement to refute wht has been said? or to support that he is actually presidential material?
 

[MENTION]Mwakalinga Y.R[/MENTION] Maelezo yako ya kiujumla bila ya kubeza khoja baada ya khoja yanaonyesha yakuwa hujasoma na kama umesoma uelewa wako bado sana............beza khoja baada ya khoja badala ya kukimbilia mahitimisho ambayo hayana msingi wowote ule..................hitimisho la chuko na ubinafsi chanzo chake lazima ukitoe kwenye kubeza khoja zilizopo mbele yako vinginevyo kaa kimya ndugu yangu...........maji marefu haya siyo ya kila mtu ili mradi awe na domo/
 
Instead of dismissing hoja as childish , why dont you come with an alternative arguement to refute wht has been said? or to support that he is actually presidential material?

zeus watu kama akina [MENTION]Field Marshal ES[/MENTION] hawajui hata kilichoandikwa ukianza kubishana nao unapoteza muda wako bure...............just ignore them and they will ignore themselves.................
 
Last edited by a moderator:
in the political context, UDASA is an interest group, sio kwamba wanatuchagulia Rais, ila they are trying to
build "public opinion" in favour of Mr membe, and to be realistic, it has an impact!

zeus.............umeliweka kwa ufasaha mkubwa lakini mlalamishi huyu[MENTION] Field Marshall ES[/MENTION] hata acha kulalalamika
 
Last edited by a moderator:

MchunguZI......waswahili husema wajinga ndiyo waliwao...........
 
Last edited by a moderator:

Mr. President with all due respect.......no to El...........let us break ourselves from this murky past.........
 
Last edited by a moderator:
Mnataka kujaza totoz state hauze eeh?

bibliography....................tukisema wanasema ni chuki na wivu................lakini hawataki kujitetea.....in what ways?
 
Last edited by a moderator:
Instead of dismissing hoja as childish , why dont you come with an alternative arguement to refute wht has been said? or to support that he is actually presidential material?

- Wewe mleta mada ndio ulitakiwa kurudi nyuma na kuja na alternative kwa sababu article yako ni nyepesi mno haina balance, ulitakiwa kusema UDASA ni nani katika Taifa hili na nani anafaa kuliko Membe!

Es!
 

Balancing unayotaka si staili pekee ya ku criticise .Critics kama alivyo na mapana ya ufahamu wa kitu anachoki criticise anaweza weka mambo yake kwa kiasi cha kufanya sifa positive kuwa too obvious to mention.

Kama ungeangalia wengi wlaioandika wameonyesha kuwa wao walimwona hafaia katk mambo mengi tuu ya nyuma.Mimi sikupend alaivyohandle Libya na mahusiano yake binafsi na Ghaddafi dhidi ya watu wa Libya.

CCM muwe mnakuwa kiakili na kifikra si tuu mnakuwa biologically.HAmuwezi omba sifa kwa vitu ambavyo ni too obvious kama mliyofanya kwa miaka 51 tangu uhuru hata kipindi mkiwa hamna upinzani.MNgekuwa mmetufikisha ilipo south Korea au hata vietnam kidogo mngeingia akilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…