[MENTION]Well said,,
but,,member for presidency 2015 !!??,,to me its a bloody hell..!
Like you have said,the man is ridiculous & he's just having a nightmare,,he's not a presidential material at all,,
lakini ukistaajabu ya musa ccm watampitisha huyo 2015,,,
let wait and see,even though i know lowasa wont allow that,,may be if he's goin to die right now..
Nani atatufaa sasa....maana wote wanaojaribu kujitokeza "hawafai"?😱hwell:
Na kwa kweli binafsi ninapata taabu kama kuna mtu anataka/ana nia kugombea urais mwaka 2015 halafu mpaka sasa hivi hajajitokeza kabisa.....hata kwa kujificha ficha!
Tunaweza kujikuta tunalazimika "ku import" Rais!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Huyu Jamaa Bernard Membe, sijawahi kumuona hata siku moja katika mazoezi ya Yanga wala Simba. Halafu hata mpirani haendaji, je kweli ni mwenzetu huyu?Froida.........................huku akijiamini lakini hana nguvu ya khoja.......................inasikitisha sana.
thank you very so muchI don't think he is fit for that position I can challenge him for not speaking loudly and not taking any action for a small issue like that of money hidden outside the country as a responsible minister, if he will be given higher responsibility than that what should we expect?
This man is weak and unstable.
FJM atatufaa kwa lipi?
The long story fo what? Membe is unfit fo presidency!
Friends of Bernard Membe at the University of Dar-Es-Salaam still believes they have got their man who is heading nowhere but to the state house in replacement of JK….comes 2015.
Nadhani kuna tatizo kubwa hapa JF siku hizi tunaanza kujadili mambo madogo madogo, tunajadili mtoa hoja badala ya hoja zake, nadhani kipaumbele kiwe hoja zake na kisha mengine. Membe ametoa hoja zake za msingi na hapa JF sijaona zikipingwa au kuchambuliwa na great thinkers wetu na badala yake ni majungu yanayothibitisha hofu ya mtu mnayemuunga mkono katika urais pengine amezidiwa uwezo na Membe.well said. membe will never be our president
Oh poor you! Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people! And that's what you're doing. Don't be emotionally moved to the extent of [FONT=arial, sans-serif]tarnishing your credibility. [/FONT]Kulya if telling the truth but nothing but the truth is being brainwashed....let it be so..............the rest of your discourse is a piece of garbage............not demanding or deserving time limited of my active attention.
Very very true my friend... Yaani mtu kapoteza muda wake kuandika taarabu hizi... Tiny brain kabisa! Badala ya kujadili masuala unaleta kujadili muonekano, kiingereza, sijui shule alizosoma... Maskini na mgojwa mahututi wa kufikiri huyu Rutashubanyuma... very stupid!Nadhani kuna tatizo kubwa hapa JF siku hizi tunaanza kujadili mambo madogo madogo, tunajadili mtoa hoja badala ya hoja zake, nadhani kipaumbele kiwe hoja zake na kisha mengine. Membe ametoa hoja zake za msingi na hapa JF sijaona zikipingwa au kuchambuliwa na great thinkers wetu na badala yake ni majungu yanayothibitisha hofu ya mtu mnayemuunga mkono katika urais pengine amezidiwa uwezo na Membe.
Tujadili hoja za Membe, kwa mfano, amesema suala la msingi ni kujiuliza wapi una break poverty cycle, akasema ni kwenye weak point ambayo inakuwa determine na opportunities za nchi, kwa Tanzania akasema poverty cycle inaweza kuvunjwa kwa kutumia nishati, ambayo italeta viwanda vinavyoajiri watu wengi kama textile (akasema come 2014 tutakuwa tunazalisha megawati za ziada kuitisha zaidi viwanda hivyo na vingine). Ajitokeze mtu kupinga hili...akifanya hivyo ndiyo maana ya great thinker.
Membe alitoa hoja kwamba nchi si static ni dyanamic na msingi wa maendeleo ya nchi yoyote ni kuachia mawazo yanayogongana ili hatimaye kusonga mbele kimaendeleo. anayepinga hili aje na hoja....hiyo ndiyo maana ya great thinkers.
Membe alitoa hoja kwamba haitoshi kujitia kiwewe cha kukimbilia Ikulu bila kujipima uwezo wako wa kubadili mifumo ya kiuchumi katika nyanja ndogo kama miundombinu na nyinginezo...anayepinga aje na hoja kupinga...ndiyo maana ya great thinkers.
Kutokana na kuyumba kimjadala hapa JF yaani tumejadili mtu badala ya hoja zake, maana yake great thinkers hapa mmepigwa bao na Membe (Its a best score kwa BM). Mmebabaika kumjadili yeye katika level ya urais wakati pale hakugusia chochote cha urais na hajawahi kutangaza nia ya urais.