Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Nani atatufaa sasa....maana wote wanaojaribu kujitokeza "hawafai"?😱hwell:

Na kwa kweli binafsi ninapata taabu kama kuna mtu anataka/ana nia kugombea urais mwaka 2015 halafu mpaka sasa hivi hajajitokeza kabisa.....hata kwa kujificha ficha!

Tunaweza kujikuta tunalazimika "ku import" Rais!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Well said,,

but,,member for presidency 2015 !!??,,to me its a bloody hell..!
Like you have said,the man is ridiculous & he's just having a nightmare,,he's not a presidential material at all,,

lakini ukistaajabu ya musa ccm watampitisha huyo 2015,,,

let wait and see,even though i know lowasa wont allow that,,may be if he's goin to die right now..
[MENTION]
THE BIG SHOW[/MENTION] personally lowassa and membe are just birds of the same feather loving to fly together and die together in a political oblivion....................
 
Nani atatufaa sasa....maana wote wanaojaribu kujitokeza "hawafai"?😱hwell:

Na kwa kweli binafsi ninapata taabu kama kuna mtu anataka/ana nia kugombea urais mwaka 2015 halafu mpaka sasa hivi hajajitokeza kabisa.....hata kwa kujificha ficha!

Tunaweza kujikuta tunalazimika "ku import" Rais!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

SMU mfumo mbovu wa kiutawala ndiyo umetuzalishia hawa matapeli wa kisiasa ambao lengo lao ni kuhamisha vijisenti vyetu na kuvipeleka uswisi khalafu wakibanwa kama Membe wanadai hela ni ya watanzania irudishwe serikalini ili iporwe tena....................tunahitaji mfumo mpya wa uoingozi na hii katiba wamemweka Warioba ili atufanzie....."finishing"
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
No.................... I always trust my instincts, Membe is his family presidential material, Jk's presidential material.
For CCM...... Lowassa stands on the top position as a presidential material, while Magufuli stands the second after Lowassa.
What many people believe is that Membe has Jk and his family backup for 2015 presidency
 
Froida.........................huku akijiamini lakini hana nguvu ya khoja.......................inasikitisha sana.
Huyu Jamaa Bernard Membe, sijawahi kumuona hata siku moja katika mazoezi ya Yanga wala Simba. Halafu hata mpirani haendaji, je kweli ni mwenzetu huyu?

KUna pesa za kama ya Uslama ambazo Lowasa alitaka apewe maelezo zilivyotiumika vinaya, hiyo hoja imezimwa mpala leo.

Halafu sijui kama atakuwa na Ubavu wa kuweka ofisi ya ubalozi wetu [pale Tel Aviv. Maana yeyey kasusia kutembelea Israel kwa kuogopa waarabu, je akipata uraisi, si taweka makao makuu ya PLO DODOMa? he will get my vote on my dead body!
 
I don't think he is fit for that position I can challenge him for not speaking loudly and not taking any action for a small issue like that of money hidden outside the country as a responsible minister, if he will be given higher responsibility than that what should we expect?

This man is weak and unstable.
thank you very so much
 
According to your views of course the convincing views he might not be but according to me the president of the United Republic of Tanzania is God's appointment so far no one is yet. Wherever they go being to Churches, Mosques, Synagouge or Sangomas' hurts to pledge for URT Presidential Candidate it is ONLY GOD TO APPOINT THEM. It might be me in the NAME OF JESUS OF NAZARET, Amen
 
Membe might not be our next president....but please if you want to dissect the candidate ''give critic ideas'' tangible and facts...not theories! in other words...tell us why you think the guy is not fitting.....Je huyu naye fisadi?, Je aliwahi kuvurunda chuoni?, Je anao ukabila au udini?. Otherwise this remains a **** not to consider worth a thought.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
well said. membe will never be our president
Nadhani kuna tatizo kubwa hapa JF siku hizi tunaanza kujadili mambo madogo madogo, tunajadili mtoa hoja badala ya hoja zake, nadhani kipaumbele kiwe hoja zake na kisha mengine. Membe ametoa hoja zake za msingi na hapa JF sijaona zikipingwa au kuchambuliwa na great thinkers wetu na badala yake ni majungu yanayothibitisha hofu ya mtu mnayemuunga mkono katika urais pengine amezidiwa uwezo na Membe.

Tujadili hoja za Membe, kwa mfano, amesema suala la msingi ni kujiuliza wapi una break poverty cycle, akasema ni kwenye weak point ambayo inakuwa determine na opportunities za nchi, kwa Tanzania akasema poverty cycle inaweza kuvunjwa kwa kutumia nishati, ambayo italeta viwanda vinavyoajiri watu wengi kama textile (akasema come 2014 tutakuwa tunazalisha megawati za ziada kuitisha zaidi viwanda hivyo na vingine). Ajitokeze mtu kupinga hili...akifanya hivyo ndiyo maana ya great thinker.

Membe alitoa hoja kwamba nchi si static ni dyanamic na msingi wa maendeleo ya nchi yoyote ni kuachia mawazo yanayogongana ili hatimaye kusonga mbele kimaendeleo. anayepinga hili aje na hoja....hiyo ndiyo maana ya great thinkers.

Membe alitoa hoja kwamba haitoshi kujitia kiwewe cha kukimbilia Ikulu bila kujipima uwezo wako wa kubadili mifumo ya kiuchumi katika nyanja ndogo kama miundombinu na nyinginezo...anayepinga aje na hoja kupinga...ndiyo maana ya great thinkers.

Kutokana na kuyumba kimjadala hapa JF yaani tumejadili mtu badala ya hoja zake, maana yake great thinkers hapa mmepigwa bao na Membe (Its a best score kwa BM). Mmebabaika kumjadili yeye katika level ya urais wakati pale hakugusia chochote cha urais na hajawahi kutangaza nia ya urais.
 
Nchi hii mtu haitaji kuwa na "president learner's license" kuwa rais wa nchi, kila kitu kinawezekana!
 
Comparably,If Dr Slaa will accept nomination of his Party,Mr Membe can't compete and win
 
Ameisha pata sponsor mwingine wa Kiarabu baada ya kupinduliwa na kuuwawa Gadhaffi?
 
Kulya if telling the truth but nothing but the truth is being brainwashed....let it be so..............the rest of your discourse is a piece of garbage............not demanding or deserving time limited of my active attention.
Oh poor you! Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people! And that's what you're doing. Don't be emotionally moved to the extent of [FONT=arial, sans-serif]tarnishing your credibility. [/FONT]
 
Nadhani kuna tatizo kubwa hapa JF siku hizi tunaanza kujadili mambo madogo madogo, tunajadili mtoa hoja badala ya hoja zake, nadhani kipaumbele kiwe hoja zake na kisha mengine. Membe ametoa hoja zake za msingi na hapa JF sijaona zikipingwa au kuchambuliwa na great thinkers wetu na badala yake ni majungu yanayothibitisha hofu ya mtu mnayemuunga mkono katika urais pengine amezidiwa uwezo na Membe.

Tujadili hoja za Membe, kwa mfano, amesema suala la msingi ni kujiuliza wapi una break poverty cycle, akasema ni kwenye weak point ambayo inakuwa determine na opportunities za nchi, kwa Tanzania akasema poverty cycle inaweza kuvunjwa kwa kutumia nishati, ambayo italeta viwanda vinavyoajiri watu wengi kama textile (akasema come 2014 tutakuwa tunazalisha megawati za ziada kuitisha zaidi viwanda hivyo na vingine). Ajitokeze mtu kupinga hili...akifanya hivyo ndiyo maana ya great thinker.

Membe alitoa hoja kwamba nchi si static ni dyanamic na msingi wa maendeleo ya nchi yoyote ni kuachia mawazo yanayogongana ili hatimaye kusonga mbele kimaendeleo. anayepinga hili aje na hoja....hiyo ndiyo maana ya great thinkers.

Membe alitoa hoja kwamba haitoshi kujitia kiwewe cha kukimbilia Ikulu bila kujipima uwezo wako wa kubadili mifumo ya kiuchumi katika nyanja ndogo kama miundombinu na nyinginezo...anayepinga aje na hoja kupinga...ndiyo maana ya great thinkers.

Kutokana na kuyumba kimjadala hapa JF yaani tumejadili mtu badala ya hoja zake, maana yake great thinkers hapa mmepigwa bao na Membe (Its a best score kwa BM). Mmebabaika kumjadili yeye katika level ya urais wakati pale hakugusia chochote cha urais na hajawahi kutangaza nia ya urais.
Very very true my friend... Yaani mtu kapoteza muda wake kuandika taarabu hizi... Tiny brain kabisa! Badala ya kujadili masuala unaleta kujadili muonekano, kiingereza, sijui shule alizosoma... Maskini na mgojwa mahututi wa kufikiri huyu Rutashubanyuma... very stupid!
 
Mpaka leo bado Membe anaamini raisi wa Libya ni Gaddaf japokua alishauwawa!
 
Back
Top Bottom