I don't think he is fit for that position I can challenge him for not speaking loudly and not taking any action for a small issue like that of money hidden outside the country as a responsible minister, if he will be given higher responsibility than that what should we expect?
This man is weak and unstable.
Kwame Nkrumah lengo ni cdm kushida tu au TZ kupata Raisi aliyebora?
Same to the one who appointed him. I can't see any difference between them.
Mti wenye matunda.......
Aah Nduka matunda gani tunapata kwa membe?
Hata vijihela vya uswis! kajambo kadogo tu amegwaya! kumbuka ni wizara yake, kama madogo yanamshinda makubwa
atayaweza?
Huo sio mti wenye matunada ni moja kati ya magugu yanayopaswa kung'olewa
Kama ni gugu mbona hamlali? Kijasho kinawashuka teremka, chemka.
Tunangoja ngano ikomae, tutayang'owa magugu pamoja na hilo wakati wa mavuno ukitimu, si ndo utaratibu kiongozi!
Twende na Membe kaka sitaki tukuache kwenye safari ya mafanikio.
A Membe presidency is synonymous with having JK at the helm. If Membe is the person who will run for president on the CCM ticket then victory is already in the bag for CHADEMA
Membe is the only person who is capable of steering this nation forward, he is not surrounded by thieves and greedy people. He has the interest of this country at heart. Membe for presidency.