Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

- Nonsense, Rais bora hawezi kupimwa kwa kutumia Speech yake moja ya UDASA ni simply nonsense!! And who si UDASA anyways?

Es!
[MENTION]
Field Marshall ES[/MENTION] This speech is a mere an anecdote nothing more..............my focus was his demeanour overall in his short yet mediocre political career...........
 
naona kaandika vyema sana kuhusu mwenzie,ila haimaanishi kuwa yeye atapona chujio likimfikia.Huo ndio uzuri wa critics, huwa uwezo wake wa criticize haumsaidii san anapokuja kuwa criticized.

Nicholas.......chujio la kunipima mimi ni wakati ambao sote tunafahamu ni ukuta..................time is always the best teacher......
 
Last edited by a moderator:
You couldn't be right brother.

This guy, whom we now know that guy who has camouflaged himself with pseudo names is one of the senior Government officials who is squaking to appease his master is full of meaningless bunch of words. We challenge him to come out clean and we will tell him what he is and the extent to which he and his family have immersed themselves in the fleecing of the country's resources. I know he is venting his anger and frustration after being castigated by Prof. Shivji and Mzee Butiku for his political adolescence. Watch this space
[MENTION]
Kiswigo[/MENTION] please not I no longer work for this government........so all your speculations were spoken presumptuously.......
 
Tikiti maji hili, badala ya kuangalia hoja alizotoa Membe yeye ametuletea udaku kuhusu Membe, shame on you..

Az 89.tatizo kubwa la wa-tz hatuna tabia ya kujisomea na pale tunapojikakamua kusoma hata hatuelewi.......ungelijiongoza vizuri ungeligundua hotuba ya Membe imekosolewa vilivyo na hii mada na usingelithubutu kuongea kama ulivyofanya hapa.................
 
Last edited by a moderator:
ni kama shambulizi binafsi hilo na si la KIUCHAMBUZI/KITATHMINI
au alikuchukulia demu nini maana hoja zako ulizozitoa kwa kiingereza cha kuclaim
ni nyepesi sana na zimekaa ki-AUGUSTINO MREMA,KIMTIKLA TIKILA NA PIA KIZOMBOZOMBI
kwa namna hii hatuwezi kujenga watanzania wenzangu,yaani wewe unaonekana umetumwa na hukuandika peke yako huo upupuuu inaonesha mlikaa katika BAA flani na kamati yako inayomhofia COMRADE MEMBE katika kinyang'anyiro cha urais mkaona dawa yake ni KUM-ATTACK PERSONALLY kwa kuwa SPEECH ALIYOITOA PALE NKRUMAH HALL TARE 09/12/2012 MNAJUA KUWA ALI WIN MAJORITY
 
The more important question here is not whether one is presidential or not, but whether can a hobnobbing humbug hocus pocus with no focus his way to Ikulu.

The answer is yes, the current occupant of Ikulu is a perfect example.

Then the other question is, how do genuinely concerned Tanzanians stop him?

If there is a case to be made for such exposes as this is in answering this question.

The more saddening question is, if not Membe, then whom?

I am dismayed by the realization that, those who are fit to lead are hardly attracting nationwide attention, and those attracting nationwide attention are hardly fit to lead.

Kiranga............ndiyo maana tunausemo usemao..........debetupu haliachi kutika.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli anaweza kuwa hafai kuwa rais kama unavyodai lakini usisahau kufikiri nje ya box upepo ukabadilika akapitishwa na chama chake kuwa mgombea,mchakato wa katiba mpya ukapigwa danadana na tume ya uchaguzi ndio hiyo na umafya wa wizi wa kura CCM ndio wenyewe kwa sababu wanasaidiwa na usalama wa taifa,polisi,jeshi,na tume yenyewe akiibuka kuwa raisi utafanyaje???utakimbia nchi???angalia!!!

Vonix kutofaa haiamaanishi hatakuwa Raisi..............JK hafai lakini tuko naye na suti zake
 
Last edited by a moderator:
ni kama shambulizi binafsi hilo na si la KIUCHAMBUZI/KITATHMINI
au alikuchukulia demu nini maana hoja zako ulizozitoa kwa kiingereza cha kuclaim
ni nyepesi sana na zimekaa ki-AUGUSTINO MREMA,KIMTIKLA TIKILA NA PIA KIZOMBOZOMBI
kwa namna hii hatuwezi kujenga watanzania wenzangu,yaani wewe unaonekana umetumwa na hukuandika peke yako huo upupuuu inaonesha mlikaa katika BAA flani na kamati yako inayomhofia COMRADE MEMBE katika kinyang'anyiro cha urais mkaona dawa yake ni KUM-ATTACK PERSONALLY kwa kuwa SPEECH ALIYOITOA PALE NKRUMAH HALL TARE 09/12/2012 MNAJUA KUWA ALI WIN MAJORITY

:focus:



kawakama mbona huchambui khoja zilizoko mbele yako na unaanzisha mazogo ambayo yako nje na mada?
 
Last edited by a moderator:
hahaah..kwanini mkuu?

kawakama penye ukweli na unapakataa.......kama mtu ana majivuno si anayo tu hata umtetee........na kama huyaoni na jamii inayaona basi nawe ufahari wako ni kujisikia kama mhusika tajwa..........
 
Last edited by a moderator:
Membe hajawahi ni impress, kwanza yupo too artificial na limited kwa kila kitu.Anachoweza ni kujiangalia vibaya ktk kioo, na kujiona mtu wa tofauti sana anajipa personality ay juu sana.Sijui ni kwa vile kapata nafasi ya kuingia ktk state banquets nyingi sana, basi kadhani kuwa intelectually yupo safi.

NI arrogant sana.Hana tofauti na Dume la Baboon lina pokimbizw ana mwenye mahindi huwa linapata shida sana kukimbia kwa kiburi wakati linajua wazi kuwa limefanya tatizo.Na hili nilmelion akwa international standing zetu, embe alikuwa kaidhani kusimama against western nations ndio kuwa smart, mwishowe katuletea aibu kwa kuwa upande wa ghaddafi.
 
BabaDesi.anajitia ujuaji wakati upeo ni chini ya kiwango cha mtu wa kawaida.....................how sad

...Nilishangazwa sana na ile hotuba yake ya Nusu Kiswahili na Nusu Kiingereza. Nilidhani kwamba alipaswa kuwa na Upeo wa kufahamu kuwa Kuzungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu hakuna Maana ya Kuchanganya Lugha ili uonekane mmoja wao!
Angeweza Kuzungumza Kiswahili Chema tu Bila hata Kuchomekea neno la Kiingereza na bado akaonekana ni Msomi. Nadhani Proffesor Shivji alifanya hivyo kwenye dakika zake 3/4 na bado tulimuelewa!
Kwangu mimi, uchangajiwa Lugha ni Ishara ya Kutojiamini.


 
Last edited by a moderator:
Acha agombee tupate unafuu wa kubadilisha regime. Kwa sababu hatashinda.

Rutashubanyuma chomekea na lugha ya taifa kidogo...hizi shule za kata ni issue na dictionaries nyingi zimechakachuliwa. Lugha gongana! lol
 
Rutashubanyuma umeandika maneno magumu ya kiingereza kwa sisi wadtanzania wengi, kama unataka kueleweka kwa nini usingeweka kwa kiswahili? Nimesoma mwanzo mwisho nimetoka kapa! (Kati ya Membe, Lowasa, Sita na Makamba Jn nani anafaa?. Mbona naona wengine wana makundi?
 
Member demonstrated that he is so poor in history....i wonder how he could lead the nation with that poor memory!
 
Rutashubanyuma, as much as I agree with you on Membe's presidential merits, I doubt if you are being realistic to think that he cannot win a TZ presidential election.

Kikwete was as pathetic as Membe but he was elected by his party and went on to win the general elections with ease, not only that but Chenge, Rostam, Lowasa, to name just a few won their respective legistrative seats regardless of the many corruption scandals hanging over their heads (they still can win if they were to contest any seat).

Kikwete never was nor will ever have the presidential qualities but he is among the very few Tanzanians that have been privileged to become presidents of this country, if there are individuals who see Membe as vehicle good enough to carry their interests he will become president of Tanzania in 2015, no matter what!
 
Neither Membe nor Magufuli can lead this country!!
Very much true on magufuli, not going without mentioning poor ccm and his excellency jk.
Data are plenty in tanzania, pombe playing rhetorism over them is non sense to illfated and downtoearth tanzanian.
He can do better if he sniffs tobacco.
Am through.
 
Back
Top Bottom