Why bleki men......

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,856
Jamani kwanini wanaume wakiafrika or let me put this way black men (blekiiiiiiiii men) wanamatatizo fulani mbona mimi naona idadi nyingi tu wenye vihela kidogo au majina yao kishapanda chati magezetini for whatever position they are wanatabia ya kutafuta wadada wazungu au kitu nyeupe. Mbona sisi hatumind kuwa nao hata tukiwa zaidi ya akina Asha Magiro. Na hili silioni kwa wazungu wenye nyadhira za juu kuchukua wanawake weusi, most wanakuwa blue collar.

Is this a prestige for blekimen or what? Maana nina list ndefu tu na hapa TZ ni wengi tu....kama unawajua endeleza.


1-Koffi la Nani
2-Tiger Woods
3-Remy Ongala
3-Seal
4-Obama Sr
5-Michael Jordan
6-Dr Dre
 
Namimi nimempata mmoja kutoka west virginia,imetokea tu tukafall hakuna cha shekeli wala ustaa!
 
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali
 
Jaribu kutaja pia na wanaume weusi wenye pesa ambao walioa dada zetu,
halafu tuchunguze tuone kama ni tatizo la hawa brothers, au ni all brothers.
 
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali

ivi yule ni mzungu eeeh?..afu atakua ana nywele kifuani sio?(nimekumbuka points zako za jana)...naona mule mule!....ngoja nikuPM umfolo Twitter...
 
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali

Shoga basi si kwa kasi hiyo maana kuna shoga zake mange wameokota vibabu hata kwenda nao shughulini/outings ni tabu. Maana hawana age group inayowafiti halafu zinakuwa time zao za kulala zishafika, utaenjoy kweli?
 
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali

Njoo huku Yaeda....kuna wanaokujaga kutushangaa shangaa......wanaweza kukuona.....
 
Katika hili naomba niwe mtazamaji....!!

May be ka swali ka kizuushi...

Hivi ni wanaume wangapi weusi wameukata (mambo yao ni mswano)??? Kati ya hao, ni asilimia ngapi wanatesa na mdhungu (a.k.a nyama ya kiti moto)???


Babu DC!!
 
so wewe unatakaje maana hata hiyo list uliotoa ni propaganda tu,kama mtu unamkubali sitajali rangi au wewe ni mbaguzi wa rangi?mke sio rangi mama mana tunaona weusi wenzetu wanawafanyia mabaya washkaji bora hata hao wazungu
 
Katika hili naomba niwe mtazamaji....!!

May be ka swali ka kizuushi...

Hivi ni wanaume wangapi weusi wameukata (mambo yao ni mswano)??? Kati ya hao, ni asilimia ngapi wanatesa na mdhungu (a.k.a nyama ya kiti moto)???


Babu DC!!
Ndio na mimi nimemwambia akitaja wenye wake wazungu
ataje pia na wenye wake weusi kabla ya kusema wengi wao wanapenda wazungu.
 
Ivi kumbe mke wa obama nae ni mzungu?
 
shoga basi si kwa kasi hiyo maana kuna shoga zake mange wameokota vibabu hata kwenda nao shughulini/outings ni tabu. Maana hawana age group inayowafiti halafu zinakuwa time zao za kulala zishafika, utaenjoy kweli?
ahahaaa madame x una mambo wewe
 
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali

Kuna mzungu nafanya naye kazi anatafuta mswahili lakini lazima awe mchagga kama wewe mchaga mpigie kwa namaba hii 0763616895 bahati yaweza kuwa yako.
 
Let wanamme wa kiafrika waliofanikiwa be x
Na hao walooa wadhungu wako 6

Ratio ya 6/x ni kubwa kiasi cha kusema waafrika wa kiume wakifanikiwa huoa wazungu???

I doubt it.

I can't pruvu this mathematically.
 
Wasanii wa bongo wenye mademu/wake wazungu JCB, Chindo Man, Rama Dee, mr paul
 
Ndio na mimi nimemwambia akitaja wenye wake wazungu
ataje pia na wenye wake weusi kabla ya kusema wengi wao wanapenda wazungu.

Wenye wake weusi ni wachache sana right now all I can think of is Robert DeNero kama mnazo zileteni tulinganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…