Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali
Is this a prestige for blekimen or what? Maana nina list ndefu tu na hapa TZ ni wengi tu....kama unawajua endeleza.
Acha ukilaza.....Obama Sr......yaana baba yake Obama eboooIvi kumbe mke wa obama nae ni mzungu?
natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali
Hahahaha, nakumbuka nilipoona district 9 mara ya kwanza.Wazungu washapitwa na wakati, mie namtafuta Android sasa hivi niende intergalactic hookup, achilia mbali interracial.
umeambiwa obama sinior kijana, wewe unasoma chuo gani? hivi utaweza kweli kupambana kwenye soko la ajira la afrika mashariki?Ivi kumbe mke wa obama nae ni mzungu?
Mzungu unamtafutia humu jf? Hutompata ng'oo....
Wenzio wanaenda viwanja vya wazungu.... Kapate brunch royol palm sijui ndo hyatt angalau mara 4 kwa wiki, dinnee kempiski, brekfast holiday inn, weekend kqjianike juani beach znz utaopoa tu.....