Why bleki men......

Wasanii wa bongo wenye mademu/wake wazungu JCB, Chindo Man, Rama Dee, mr paul


Haya hawa wengine, huku kwetu ni tabu tu kuwapata amasivyo hata Kongosho nae tungemwona na wake 🙂
 
Is this a prestige for blekimen or what? Maana nina list ndefu tu na hapa TZ ni wengi tu....kama unawajua endeleza.

hata Koffi Annan naye kabeba mzungu..............yule Justice Clarence Thomas wa Us supreme court naye mkewe ni white.........hata Michael Jackson wake zake wote wawil walikuwa white ukianzia mtoto wa Elvis Presley..............hapa TZ wazungu hawapo kwa hiyo ni wale wachache ambao wamebahatika kwenda ng'ambo..............................

Binafsi yangu black is beautiful...........na hakuna cultural shock pale.......
 
Wapi wengine kibao wanao date na wameoa weusi? Acha hizo wewe!
 
Kila mtu na choices zake, labda kwa sababu hao wana majina ndio maana umehitimisha hivyo. Hata hivi viwanaume vya mtaani pia vina wazungu wao na ambao hawana wanatamani.
 
Inatakiwa tufike mahali tubadili namna ya kufikiri,hakuna uhusiano wowote kati ya rangi na tabia ya mtu,tabia huletwa na malezi!
 
Madame X hoja nzuri lakini vile naomba kusema kuwa sio kila successful black man anafanya hivyo yaani kukimbilia white women. Mfano mzuri ni Denzel Washington, Will Smith, Jay Z, na kadhalika. Nafikiri inatokea tu kuwa preference ya mtu. Kwa mfano, kuna mabinti watatu wa kizungu ambao nawajua kwa muda mrefu sasa. They all date black men, na wanapendelea jamaa zetu wa West Africa (Nigerians, and Ghanians). Why? I have no idea. Vile vile, angalia mtu kama Tiger Woods. Ukiangalia wanawake wote aliokuwa ana fling nao..almost wote ni blondes. Mmoja au wawili walikuwa ma brunette.
Now kuna watu wanaoweka vigezo fulani (physical criteria) kwenye kutafuta partner, regardless ya tabia ya mtu. Kwa mfano sisi baadhi ya waafrica, kuna wanawake wakiona mzungu tu hata kama ana miaka 70 what a lottery. Vile vile kuna baadhi yetu especially tulio nje tukikutana na mwanamama wa kidhungu hata kama ana weigh pound 300, poa tu so long as she is going to solve our immediate needs yaani makaratasi. Watu wana date kutokana na mazingira waliyoko, kipato, elimu, publicity, marafiki, etc. Nafikiri watu wakiwa sophisticated na kukawa hakuna shida ya hela, makaratasi,etc,. then criteria zinakuwa tofauti kuliko unavyokuwa desperate.
N'ways I like your topic.
 
Nimekusoma Capitol Hill, my concerned ni kuwa mbona hao maceleb wa kidhungu au hao viongozi wakujulikana very few wana wake wa kiafrica.

I still remained on the same conclusion kuwa maceleb wenye asili ya kiafirka wanakuwaobssesed with white wife/gf for them its PRESTIGE
 
Wazungu washapitwa na wakati, mie namtafuta Android sasa hivi niende intergalactic hookup, achilia mbali interracial.
 
Mzungu unamtafutia humu jf? Hutompata ng'oo....
Wenzio wanaenda viwanja vya wazungu.... Kapate brunch royol palm sijui ndo hyatt angalau mara 4 kwa wiki, dinnee kempiski, brekfast holiday inn, weekend kqjianike juani beach znz utaopoa tu.....



natafuta mzungu hadi basi
mwenye mawasiliano na mange tafadhali
 
There is a very easy explanation wengi uliowaongelea wapo States, kutokana na pesa kuwa nyingi na environment wanazokaa au viwanja wanavyotembelea kuna wanawake wazungu wengi kuliko weusi (kwahio obviously kuna a better chance wao ku-mingle na weupe)

Ila its 21st Century who cares what anybody does, we are human beings, black, white, yellow or whatever.., if someone got a jungle fever who are we to judge
 
Wazungu washapitwa na wakati, mie namtafuta Android sasa hivi niende intergalactic hookup, achilia mbali interracial.
Hahahaha, nakumbuka nilipoona district 9 mara ya kwanza.
Kuna machangu wa kinigeria walianza 'inter-species prostitution'
Nilijikuta nikicheka tu kwa kufikiria wale 'prawns' with humans. lol
 
....wanaume wa kiafrika ma celebrities....hapo ungesomeka vizuri...
Coz hata mie nina hela ndefu ila sijawa na influence ktk media...na jamii
Yote kwa yote hapo ishu haipo kwa wanaume bali ni hao mabinti wa kizungu ambao wao hupenda zaid kipaji anachokua nacho mtu...then anadondoka nae....
LINEX,
MAD ICE..etc.
 
WaliNazi, hauko kwenye list coz hauna title ya kutosha kukuweka kwenye media.
 
Mzungu unamtafutia humu jf? Hutompata ng'oo....
Wenzio wanaenda viwanja vya wazungu.... Kapate brunch royol palm sijui ndo hyatt angalau mara 4 kwa wiki, dinnee kempiski, brekfast holiday inn, weekend kqjianike juani beach znz utaopoa tu.....

Good one, I think I have just seen an investment opportumity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…