Why Christian Bella? Why? Why?

Why Christian Bella? Why? Why?

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
Chrstian Bella huchoki kunishangaza wewe king of melody and best vocalist off all time in Tanzania. Nilianza kukusikiliza toka mwaka 2009 enzi hizo ukiwa na Akudo Impact 'Wazee wa Masauti' mpaka leo mwaka 2015 ukiwa na bendi yako ya Malaika. Wengi watakuja na wataondoka ila wewe utabaki miaka elfu mia.lol

Tumwimbie Kizaizai na hizi ndio ngoma zangu kumi kali za Christain Bella a.k.a King of Melody a.k.a Best Vocalist.

1.Nani kama Mama - Christian Bella feat Ommy Dimpoz
2. Msaliti
3. Usilie - Christian Bella feat Banana Zoro
4. Nashindwa
5. Yako wapi Mapenzi
6.Nakuhitaji - Christian Bella & Malaika Band
7. Safari sio Kifo
8. Umejificha wapi - Christian Bella with Akudo Impact
9. Binaadamu
10. Ukimwon Remix - Christian Bella killed off this damn song - Daaah

I love you Christain Bella. Jamani tukutane pale Escape Jumamosi hii tarehe 18 April 2015.
 
Usiliee aha aha aa.... christian bella .....
 
Christian bella ni the king kweli. Kaja na wimbo mwingine mpya nimeusahau jina anaoujua autupie hapa.
 
Mimi nakumbuka nilimsikia mwaka 2007 kwenye huo wimbo wa yako wapi mapenzi?
Aisee jamaa anajua sana.

Achana na kitu yako wapi mapenzi, barizie barizieeh belaa mamaaa. ... ukisikia nimekufa ucje balii sherekeaa...weee muubayaaa !!! huu wimbo ulimtambulisha vilivyo.
 
Kijana wangu alikuwa yeye na muziki mbalimbali, sana sana mpira. Christian Bella amembadilisha kabisa. Humwambii kitu... Big up sir.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
"Mamiie mamiee;dadidadiee...Mbona kama unanionea haya mapenzi gani kila siku mimi nibembeleze....

Nashindwa kutoka mimi nashindwa na shindwa.."
 
Christian Bella amebarikiwa sauti yule kijana hatari tupu ........ hakuna kitu kinagusa kama mtu kuimba kwa hisia halisi za ujumbe wa nyimbo ........hasa ukijaliwa sauti kama ya Bella ...... kama onesho lao litaanza mapema pale Escape one nitapitia kupata ladha japo kidogo then niwahi Night of the Legends Isumba Lounge (Zamani Jolly's club) kamakawa ............
 
Back
Top Bottom