Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
tupo pamoja huyu ni msanii bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na kitu yako wapi mapenzi, barizie barizieeh belaa mamaaa. ... ukisikia nimekufa ucje balii sherekeaa...weee muubayaaa !!! huu wimbo ulimtambulisha vilivyo.
Wimbo wa Nani kama Mama hunitoa machozi kila niusikiapo. Una hisia Kali sana. Mafunzo ya mama hayana cheti wala degree. Mama ulikesha macho kuniangalia.Aah Bella Obama. Big up!
penda sana sauti yako bella na vile jamaa hana mbwembwe za kidotcom.cjui kiduku mara dred mara kusuka mara hereni.nakufagilia sana
Chrstian Bella huchoki kunishangaza wewe king of melody and best vocalist off all time in Tanzania. Nilianza kukusikiliza toka mwaka 2009 enzi hizo ukiwa na Akudo Impact 'Wazee wa Masauti' mpaka leo mwaka 2015 ukiwa na bendi yako ya Malaika. Wengi watakuja na wataondoka ila wewe utabaki miaka elfu mia.lol
Tumwimbie Kizaizai na hizi ndio ngoma zangu kumi kali za Christain Bella a.k.a King of Melody a.k.a Best Vocalist.
1.Nani kama Mama - Christian Bella feat Ommy Dimpoz
2. Msaliti
3. Usilie - Christian Bella feat Banana Zoro
4. Nashindwa
5. Yako wapi Mapenzi
6.Nakuhitaji - Christian Bella & Malaika Band
7. Safari sio Kifo
8. Umejificha wapi - Christian Bella with Akudo Impact
9. Binaadamu
10. Ukimwon Remix - Christian Bella killed off this damn song - Daaah
I love you Christain Bella. Jamani tukutane pale Escape Jumamosi hii tarehe 18 April 2015.
https://www.youtube.com/watch?v=LxNIEqavOmg
gonga hiyo link hapo juu mkuu