Why Christian Bella? Why? Why?

Why Christian Bella? Why? Why?

penda sana sauti yako bella na vile jamaa hana mbwembwe za kidotcom.cjui kiduku mara dred mara kusuka mara hereni.nakufagilia sana
 
Yako wapi mapenzi....ndio ngoma ambayo siichoki kwa huyu jamaa
 
Wimbo wa Nani kama Mama hunitoa machozi kila niusikiapo. Una hisia Kali sana. Mafunzo ya mama hayana cheti wala degree. Mama ulikesha macho kuniangalia.Aah Bella Obama. Big up!
 
Wimbo wa Nani kama Mama hunitoa machozi kila niusikiapo. Una hisia Kali sana. Mafunzo ya mama hayana cheti wala degree. Mama ulikesha macho kuniangalia.Aah Bella Obama. Big up!

Same to me yan nan kma mama ndio wimbo wangu w siku zote ofcoz unatoa heshima kubwa sana kwa mama zetu I LOVE MAMA :crap2:
 
kwa mie nakuhitaji ndio nyimbo bora kuliko zote hapo na hata katika mziki huo. yaani dahhh, naimbe penda hadi naumwa u know(in lemutuz voice)
 
Chrstian Bella huchoki kunishangaza wewe king of melody and best vocalist off all time in Tanzania. Nilianza kukusikiliza toka mwaka 2009 enzi hizo ukiwa na Akudo Impact 'Wazee wa Masauti' mpaka leo mwaka 2015 ukiwa na bendi yako ya Malaika. Wengi watakuja na wataondoka ila wewe utabaki miaka elfu mia.lol

Tumwimbie Kizaizai na hizi ndio ngoma zangu kumi kali za Christain Bella a.k.a King of Melody a.k.a Best Vocalist.

1.Nani kama Mama - Christian Bella feat Ommy Dimpoz
2. Msaliti
3. Usilie - Christian Bella feat Banana Zoro
4. Nashindwa
5. Yako wapi Mapenzi
6.Nakuhitaji - Christian Bella & Malaika Band
7. Safari sio Kifo
8. Umejificha wapi - Christian Bella with Akudo Impact
9. Binaadamu
10. Ukimwon Remix - Christian Bella killed off this damn song - Daaah

I love you Christain Bella. Jamani tukutane pale Escape Jumamosi hii tarehe 18 April 2015.

Huwa unaenda kwenye shoo zake lkn ukienda ndio utaona kuwa ww bado humkubali
 
aka kaneno mapenzi, kaneno kafupiiiiiiii,
uliniachaaa nikazamaaaaaa, kutoka sasaaa nashindwaaaaaa, nashindwaaaaaaa.
bella ni shidaaaa tena aswaaaaaa
 
Ifike time tusapoti wa kwetu tuachane na hawa wa komgoman wanaotubadilishia mziki wetu wa dansi na kuingiza vionjo vya umagharibi kwe mziki wetu hadi unashindwa kutambulika ni wa nchi gani
 
Kwa Tanzania yetu wanamuziki wanaojua sanaa ya muziki huwa hawafanikiwi kibiashara...

Lakini wale waimbaji tu wa kubahatisha huwa ndio waliofanikiwa sana kibiashara...

Sitapenda kuweka majina maana kuna watu JF ni kama wamekatwa vichwa, hawana muda wa kutafakari zaidi ya kujawa ufurukutwa...

Mwanamuziki kama Bella au Barnaba hawa watu wangelikuwepo nchi zinazojali taaluma ya sanaa ya muziki, wangelikuwa mbali kifedha...
 
Me sio mshabiki wa bongofleva lakini Christian BELLA ni mwanamuziki ambaye kila siku namkubali naweza kusema sijaona mwanamuziki kama Christian BELLA bongo au east Africa wa aina ya muzik anaoufanya BELLA.
 
Msisahau kipande alichoimba kwenye nyimbo ya kassim mganga inaitwa "subira".... huyu jamaa atakuwa jini tu na sio binadamu wa kawaida
 
Back
Top Bottom