Zitto,
To those of us who were there at the time Mwalimu was very predictable on Biafra. Believe me. Alipoondoka Dar Februari 1967 kwenda kukutana na Gowon, na baadaye Houphoet Boigny, we knew what Mwalimu was up to. Mwakilishi wa Biafra DSM was working overtime to win over Tanzania's symphathy on the Nigerian pogrom. Contradictory, maybe, but very predictable.
Umetukumbusha miaka ile sisi tulio kuwepo. Mwakilishi wa Biafra nchini Tanzania na sehemu zingine za Afrika Mashariki alikuwa ni Dr. Austine Okwu. Namkumbuka sana pia kwamba alikuwa anaendesha mwenyewe Mercedes Benz nyeupe. Tulikuwa tunamwona Dar mara nyingi. Miaka michache iliyopita, alikuwa anafundisha somewhere in Pennsylvania, USA.
Msimamo wa Mwalimu kuhusu Biafra ulikuwa wazi kabisa. Kuna watu walikuwa wanasema Tanzania iliitambua Biafra kama nchi kwa sababu Nyerere alikuwa anawapendelea Wabiafra ambao walikuwa ni Wakatoliki wenzake na walikuwa vitani na Waisalmu wa Nigeria Kaskazini, hawa Wahausa. Ni kweli Waibo wengi sana ni Wakatoliki. Lakini Ukatoliki wao, au Ukristo wao, haukusika kabisa na nchi yetu chini ya uongozi wa Nyerere kuitambua Biafra. Nakumbuka hata Professor Ali Amin Mazrui, Mwislamu, alivyomtetea Nyerere na kusema kwamba Nyerere haikuitambua Biafra kwa sababu Wabiafra ni Wakatoliki wenzake, ingawa hakukubaliana na uamuzi huo wa Mwalimu kuitambua Biafra kama nchi. Wakati ule ule wa vita nchini Nigeria, na miaka iliyofuata baada ya hapo, Nyerere alikuwa mbele kuwatetea Wapalestine, wengi wao ambao ni Waislamu, walipokuwa wanauawa na wanakandamizwa na Wayahudi wa Israel ambao siyo Waislamu.
Kumbuka pia kwamba kati ya marafiki zake wa karibu sana miaka ile, Ahmed Sekou Toure, Gamal Abdel Nasser, na Ahmed Ben Bella, walikuwa ni Waislamu. Kwa mfano mwingine, Leopold Senghor na Mobutu, ambao ni Wakatoliki kama yeye, hawakuwa rafiki zake.
Nyerere alieleza kwa kirefu kwamba Wabiafra hawakuweza tena kuishi kwa amani na usalama katika nchi yao ya Nigeria na walikuwa wanauawa bila serikali ya Nigeria kufanya chochote kuwalinda na kukomesha mauaji hayo. Nakumbuka wakati ule Waibo walipouawa kwa wingi sana katika vituo vya basi na matreni Nigeria Kaskazini walipokuwa wanajaribu kuondoka kwa haraka na kurudi nyumbani kwao Nigeria Mashariki mauaji yalipoanza kwa wingi sehemu hizo za kaskazini ya Nigeria. Hundreds of them were massacred at bus and train stations. By September 1966, kuanzia January mwaka huo, more than 50,000 Eastern Nigerians, mostly Igbos, were massacred in Northern Nigeria. Serikali ya Northern Nigeria haikufanya chochote to stop the killings. Pia serikali ya Shirikisho la Nigeria haikufanya chochote. The massacres continued. Nyerere alieleza hayo yote.
Ikawalazimu Waibo, and other Eastern Nigerians, kurudi nyumbani kwao Mashariki ya Nigeria ambako ni huko tu walikotegemea kuishi kwa usalama na amani bila kushambuliwa na kuuawa na Wanigeria wenzao, hasa kaskazini ya nchi hiyo.
Baada ya kujitenga, walifuatwa na Jeshi la Shirkisho la Nigeria kuwalazimisha wabaki katika Shirikisho ambamo hawakuwa na usalama. Hata hospitali zao, shule na masoko, in Eastern Nigeria were bombed. Ndege zilizotumiwa to bomb Biafra zilikuwa ni Mig 15s na Ilyushins kutoka Soviet Union. They were flown by Egyptian pilots. Nigeria ilinunua ndege hizo kutoka USSR. They arrived in crates in Kano, Northern Nigeria, in August 1967, and were assembled by about 200 Soviet technicians. Na Warusi waliendelea kuwatumia zingine pamoja na Czech L-29 Delphin fighters kupitia Kano.
Nyerere alijaribu kuwaomba viongozi wa Nigeria kukaa chini na kuzungumza na Biafran leaders bila kusisitiza kwamba Biafra should first renounce secession. Alisema pre-conditions haziwezi kusaidia kupata suluhisho kwa sababu Biafrans waliamini kwamba hawatakiwi tena katika Shirikisho la Nigeria na ndiyo maana walikuwa wanauawa, na ndiyo maana Serikali ya Shirikisho pamoja na serikali ya Ahmadu Bello, the Sardauna of Sokoto, premier wa jimbo la Kaskazini, Northern Nigeria, hazikufanya chochote kuwasaidia kukomesha mauaji hayo.
Vita ikaendelea, and the Egyptian pilots in their high-fliying fighter jets continued to bomb Eastern Nigeria indiscriminately. The Biafrans had no aerial defence against such attacks. Viongozi wa Biafra walimwomba Nyerere privately kwamba amwombe Nasser to pull out his pilots. Walitegemea kwamba atafanikiwa kwa sababu walijua Nasser na Nyerere walikuwa marafiki sana. Nyerere alifanya hivyo ingawa walitofautiana kuhusu Biafran secession. Nasser alikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika waliokuwa wanasema maintain the integrity of Nigeria at all costs. Nyerere alisema huwezi kuwa na umoja wa kudumu na wa haki, na huwezi kuwaunganisha watu, kwa kuwaua na ikiwa unawabagua. Aliwahi hata kumwambia Nkrumah, face to face in 1963, kwamba "We are not going to have an African Napoleon" kuunganisha nchi zetu.
Ingawa nchi nyingi zaidi zilikuwa upande wa Nigeria, kuna hata viongozi wengine ambao hawakuitambua Biafra - iliyotambuliwa kwanza na Tanzania, April 1968, halafu na Zambia, Ivory Coast, na Gabon in that order - waliokuwa na mashaka na msimamo wa Nigeria kuendelea na vita and who were sympathetic to Biafra: General Ankrah of Ghana, Habib Bourgiba of Tunisia na Milton Obote. Inasemekana Obote came very close to recognising Biafra but couldn't do so because Uganda hosted peace talks between Nigeria and the secessionist region during that time.
Nasser aliendelea ku support Nigeria. Lakini pia pilots wake were later replaced by Nigerian pilots after they learned how to fly Russian fighter planes. Na urafiki wake na Nyerere was not affected by their differences on Biafra's secession. In one of his last speeches at the University of Dar es Salaam, December 1997, which Professor Haroub Othman who was there on that day said was one of Nyerere's best speeches, Nyerere alisema alikuwa karibu sana na Nasser and they got along very well. Katika hotuba hiyo, Nyerere covered the whole continent and the entire period kuanzia mwanzoni mwa 1960s mpaka 1990s - and beyond, alivyo ona where Africa was headed in the future. It was his farewell speech to Africa as if he knew he did have much time left in this world.
Pia Nyerere na Nasser walikubaliana sana on the liberation of Africa, for which Tanzania sacrificed so much under Nyerere's leadership because of his strong and umcompromising belief in human equality. Biafrans did not have that kind of equality in Nigeria when you take into account the conditions which forced them to secede from the federation.