Why did Zuckerberg choose now to Confess?

Why did Zuckerberg choose now to Confess?

Comment ya "kipumbavu" sana hii.Hasn't Mark Zuckerberg shown that the whole concept of Conspiracy theories is stupidity and utter nonsense.Mkuu naomba nikuondolee uvivu,hebu soma hii kitu ifuatayo,tutavumilia ujinga wenu mpaka lini?
Mkuu acha kutembelea MAGA sites, zitakuharibu na utasababisha majanga kwa watu wako wa karibu.
 
Mkuu acha kutembelea MAGA sites, zitakuharibu na utasababisha majanga kwa watu wako wa karibu.
So tunyamaze watu waendelee kuumizwa?No, tutasema ukweli,hatutaogopa,na hatutajali Zombie Apocalypse.Ambaye hatatusikia damu yake hatudaiwi.Ofcourse wapo watu ambao tayari ni zombified,hao hatuwezi kuwasaidia,lakini wapo watu ambao Mass Formation Psychosis haija take toll,that is our target.
 
Paranoid Schizophrenia. Sasa mkikutana pamoja, panapokuwa hakuna mtu wa kuwasahihisha mnaamini hayo yasiyokuwepo. Nyinyi ni watu hatari sana ambao hampaswi kuachwa msambaze uzushi ambao baadaye unaweza sababisha mamia ya vifo vya watu.
 
Wana Science indepent wote,sio mimi tu ,walishauri watu wasichanje,unfortunately watu wakaamini udaku.I must admit inasikitisha.
At last you have spoken like an intelligent person. You have all along been condescending and demeaning to others, overshadowing your actual message with arrogance.
 
Back
Top Bottom