Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mkuu acha kutembelea MAGA sites, zitakuharibu na utasababisha majanga kwa watu wako wa karibu.Comment ya "kipumbavu" sana hii.Hasn't Mark Zuckerberg shown that the whole concept of Conspiracy theories is stupidity and utter nonsense.Mkuu naomba nikuondolee uvivu,hebu soma hii kitu ifuatayo,tutavumilia ujinga wenu mpaka lini?
So tunyamaze watu waendelee kuumizwa?No, tutasema ukweli,hatutaogopa,na hatutajali Zombie Apocalypse.Ambaye hatatusikia damu yake hatudaiwi.Ofcourse wapo watu ambao tayari ni zombified,hao hatuwezi kuwasaidia,lakini wapo watu ambao Mass Formation Psychosis haija take toll,that is our target.Mkuu acha kutembelea MAGA sites, zitakuharibu na utasababisha majanga kwa watu wako wa karibu.
Paranoid Schizophrenia. Sasa mkikutana pamoja, panapokuwa hakuna mtu wa kuwasahihisha mnaamini hayo yasiyokuwepo. Nyinyi ni watu hatari sana ambao hampaswi kuachwa msambaze uzushi ambao baadaye unaweza sababisha mamia ya vifo vya watu.So tunyamaze watu waendelee kuumizwa?No, tutasema ukweli,hatutaogopa,na hatutajali Zombie Apocalypse.Ambaye hatatusikia damu yake hatudaiwi.Ofcourse wapo watu ambao tayari ni zombified,hao hatuwezi kuwasaidia,lakini wapo watu ambao Mass Formation Psychosis haija take toll,that is our target.
At last you have spoken like an intelligent person. You have all along been condescending and demeaning to others, overshadowing your actual message with arrogance.Wana Science indepent wote,sio mimi tu ,walishauri watu wasichanje,unfortunately watu wakaamini udaku.I must admit inasikitisha.