Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa muhanga leo umeibukia wapi best maana unanichekesha ile mbaya...wanaume wafupi wana makeke sana, wanajijua ni wafupi kwa hiyo wanataka kujiongeza urefu kwa makeke yao, halafu ukute ni mfupi na suruali yake inajikunyata hapa katikatika ya miguuu... to me, no way!
wanaume wafupi wana makeke sana, wanajijua ni wafupi kwa hiyo wanataka kujiongeza urefu kwa makeke yao, halafu ukute ni mfupi na suruali yake inajikunyata hapa katikatika ya miguuu... to me, no way!