Lkn pia utaonekana una low IQ kama unatumia foreign language kuwasiliana na watu ambao wote mnatumia lugha moja, foreign language hutumika kuunganisha watu wasioweza kuwasiliana kwa lugha zao, yaani wageni, hivyo kwa sisi Watanzania ambao lugha yetu ni Kiswahili kutumia lugha nyingine kuwasiliana sisi kwa sisi ni ujinga, isitoshe kama unataka kuonyesha umahiri wa english language na kujipima ungefanikiwa zaidi kama ungejiunga na blogs za USA au Uingereza, huko ni english tupu kwa maana ndiyo lugha yao na wako sahihi kufanya hivyo, lkn hapa JF umepotea njia, sisi ni Waswahili, wengi wetu.