Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 468
- 619
Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa
inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua?
Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika?
Naombeni majibu kuna utafiti nafanya hapa niandae ripoti.
Natanguliza shukrani