Mahusiano yote ya kimapenzi bahati mbaya yana hali hii. Hufikia wakati mwanamke akaona mme wake hamfai, sababu yoyote ile, hata kama mwanaume yule ni billionea au physically yuko fit kupita kiasi.
Ni kwamba katika mahusiano yoote hufikia wakati commitment ndo huwaweka watu pamoja, full stop. Wanawake mara nyingi ndo huanza kupoteza mwelekeo. Mwanaume ukishajua kuwa mkeo yuko hivyo, utatoka nje, utafanya hiki na kile, ila haisaidii. Ndoa nyingi huvunjika kipindi hikii, wengine hubaki tuu, ili mradi waendelee! Ila always kuna light at the end of the tunnel kwa wale wanaovumilina kipindi hiki.
Ni stages tu katika mahusiano, na hutegemea mtakavyoichukulia! Nobody is wrong, ila na mabadiliko ndani ya miili yanayojitokeza nje kwa mtindo huu.