Mdondoaji Tatizo la Chadema ni mjumbe ana ujumbe mzuri lakini yeye mwenyewe haufuati..sasa nani atamwamini?
Ruta,
You nailed a point there. Watanzania wanakosa viongozi wenye kuongoza kwa matendo. Nyerere alijitahidi kuongoza kwa vitendo despite his weaknesses. Sasa tunaviongozi wanasema mdomoni mengine na matendo yao ni mengine. This sends a very clear message to the people that you as a leader you are flip floper or hypocrite.
Mie sababu ya kumkubali Zitto sio kwasababu ya uislamu wake wala elimu yake. Ila ana misingi yake ambayo anaifuata ambayo anaisimamia pia. Hilo limemjengea heshima kubwa sio tu kwangu bali kwa watu wengi ninaowafahamu. Kiasi kwamba hata mtu akija kusema lengine inakuwa ngumu kuliamini hadi lithibitishwe. Nitakupa a very small example kuhusu posho alisema atakataa na amekataa hadi sasa kwasababu posho zile wizi mtupu na wabunge wanalipwa kwa kazi ambayo ni majukumu yao wenyewe.
Dr Slaa aliposema anauacha ubunge halafu ameenda kuwa katibu mkuu kumetokea tuhuma mbali mbali ambazo yeye mwenyewe either ameshindwa kuthibitisha au amezikaushia tu. Mfano kuna tetesi kuwa mkewe anataka kugombea ubunge wa kawe. Tuseme Kweli akafanikiwa kuwa mbunge na Dr Slaa ni raisi huoni kuna uwezekano kwa mfumo uliopo akamteua kuwa waziri wake? Tuseme akamteua kuwa waziri wa fedha au waziri wa madini je kodi zetu au rasilimali zetu zitakuwa salama kweli?????
Mie kuna watu wameniita mdini, mbaguzi, arrogant but huwa mara nyingi nasema I am just realist. I am a strong believer of liberalism na haki sawa kwa wote. Kungelianzishwa chama cha maliberali ningelijiunga nacho but sijakiona bado sasa. Chadema sina chuki nao wala ugomvi but nawaambia ukweli kama navyowaambia CCM kwani nasikia uchungu kodi yangu inavyoenda.