Why Elton John Calls the Legalization of Marijuana ‘One of the Greatest Mistakes of All Time’

Then we have right to dislikes him....
 
Bangi za nyumbani Afrika ni natural, zinalimwa mashambani kama mazao mengi. Lakini za hawa watu sio bangi hii drugs kabisa. Process yake ya uzalishaji ni tofauti sana, nafikiri kuna vitu labda chemicals zinaongezwa.
Ni bangi kali sana mpaka vijana wadogo zinawatia uchizi haraka sana. Hizi ni drugs kabisa
 
Wala haina madhara, zaidi ya kukufanya uwe dume kamili na siyo SHOGA!
 
You deserve hating me.. But i will never retaliate❤💪🏿.. I dont hate EJ for being a gay! but i like him less.. May be you didnt note this difference!🤔🙇🏿‍♂
That's a very clever recognition!Tuchukie tabia mbaya za mtu na si utu wake.Nimefuta kauli ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…