Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ahaaa panchekesha hatari hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]pole eti waliongea nini na nyoka. Ukiona hvyo mkuu ujue labda mtu hajakuelewa.Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha ukimtumia yeye hakutumii halafu anapotea, halafu wanawake hao hao ndio wa kwanza kulalamika wanaume wabaya wanaume hawapo serious kumbe wao ndo tatizo.
Akili zenu mnazijua wenyewe hatujui mliongea nini na nyoka pale bustanini!
Unachopaswa kujua kuwa hata wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume wa ndoto zao,sasa unapotuma picha halafu anaona huyu sie ninaye mtaka lazima aingie mitini,au anahitaji mwanaume ambaye mwenye uwezo flani kiuchumu halafu anagundua mizinga anayokupiga haileti majibu chanya usitegemee ataendelea kuwasiliana na wewe.Cha muhimu mkuu tafuta hela kwa nguvu zote,ukishakuwa nazo huwa hawaangalii sura yako au umbo lako linafanana vipi lazima utapendwa tu...