Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

Endelea na utoto wako eeh...Endelea ivo ivo mpaka ufikishe miaka 50
 
My brother LIKUD naomba uje unisaidie mawazo yako tafadhali maana wewe ni moja kati ya watu ambao wapo so much open minded humu Jf.

I have a very deep respect of how you think and how you see things.

Mimi nimeuliza swali " why do u think she has unblocked me " na nimeweka na scenario yangu. Watu badala ya kujibu swali langu wanaanza tena kunipa ushauri wa mahusiano.

Mimi nataka tu kupata mawazo ya watu smart. Watu wanao jua saikolojia ya wanawake. Why has she un-blocked me.


Sijauliza whether she loves me or not or whether she is faithfully or not.

Or whether I am right or wrong. I just want to know why has she un-blocked me, based on my scenario.


Karibu mkuu
 
Mwanaume wa aina yako hata bure sitaki,mwanamke anayejielewa hawezi kubali kuolewa na mwanaume wa aina yako.Hivi unajua kitu inaitwa manhood?Au unadhani uanaume ni kuweza kudindisha tu?
 
Someone blocks you and you're still there, sijui wanaume wenzangu mpoje.

Kwanza hizo distance relationships hazina tija zaidi kupeana stress tu. Ili uonane na mtu lazima ukwee bus/pipa, that's BS.
 
Kizazi cha hovyo hiki, unakuta mtu analalamikia "blue tick without reply ", unanswered calls, unread texts, being blocked...

Very sad!!
 
Expert wa maswala hayo nipo hapa

Naomba nijibu maswali haya mawili then nishushe nondo

Age range yako
Age range ya mpenzi wako


Naomba nifahamu hayo kwanza
 
Ila mwanangu unatakiwa upigwe lecture ya uanaume, bado una safari ndefu sana.

labda hata kuna mwanaume hapokei simu za huyo mwanamke na mwanamke anaomba msamaha japo hajui kosa afu wewe umepigwa block na umekaa unasema "she is my soulmate"
Will Jr, maisha yako hivyo tu huwezi kuwa serious sana mkuu.
Kila mtu anaishi vile moyo unavyomsukuma kifupi mwamba yuko sawa maana yeye ndiye anaijua taste ya situation hiyo.
Na wewe pia uko sawa kwa kumuona mwamba hivyo ulivyomchukulia maana haujui taste ya situation yake so utahukumu vyovyote vile ni sawa.
Ila ukweli usemwe kila mtu hapa duniani iwe ke kwa me, wote tunafeel lonely, Guilty na kumiss baadhi ya old days. And we all get stupid when in deep love.
Kuna muda ke kwa me wanatutumua misuli kuaminisha wengine kuwa hawapotezi sense zao kwaajili ya mapenzi but at the end hao watu ni wajinga sana katika mapenzi.
Kuweni huru kwenye mapenzi na kumpenda mwenzio kupita kiasi sio ubwege bali ni ushupavu maana huigizi zaidi ya kuuachilia moyo katika uhalisia wake..
 
Ni zamu yako sasa katika list aliyonayo akimaliza atakurudisha tena katika blocked list.Vijana siku hizi ni mwendo wa kuwekana katika blocked list hasa akienda kwa mwingine utahisi uko peke yak😵mba simu ya mpenzi wako na ingia blocked list usome msj na uone calls usipozimia tunakuletea zawadi.
 
Nadhan itoshe tu kusema mitano tena....ila sio kwa diwani wala mbunge
 
Hivi nguvu unayotumia kuforci mapenzi usipopendwa unaweza kuitumia kudai katiba mpya?
 
Umekuja na id nyingine kutetea ujinga wako.
 
Uandishi wako umekaa kike kike sana
 
Umekuja na id nyingine kutetea ujinga wako.
Kwamba unachotaka kusikia ni kwamba mwamba kamvua nguo manzi kwa lazima kisha kaingiza dudu si ndio??
Au kamtimua home kwake kama mbwa?
Ni hayo ndiyo uliyojiandaa kusikia mkuu?
Then unaita uchangiaji wangu utetezi? Soma tena unielewe usikimbilie kuniquote kizembe hivyo, walionielewa wamekaa kimya any way lete hoja unipinge usikimbilie kuleta visingizio kuwa mimi ni mletà post.
Na kila mtu ana namna yake ya kuview issues Mnyunguli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…