Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

Why amekuunblock muulize yeye ndo anajua sababu.. sisi unatupa kazi idiot yetu
 
Hivi kuna uhusiano gani ya wanaume wanaopenda kuongea kingereza na kuwa weak/kusumbuliwa na mapenzi😂
 
Nakubali mawazo yako, lakini mapenzi yanatuhitaji wanaume tuwe viongozi, maana yake tuweke hisia kando na tutumie akili pale inapobidi, hisia zinatufanya wanaume tupoteze nguvu kwa mambo ya kawaida, hoja yako kusema mtu awe huru kufeel anachotaka naona haina tija kwa sababu wanaume tumeumbiwa nidhamu, hakuna kitu kizuri utapata bila nidhamu, uwezo wa kuzuia hisia unahitaji nidhamu. Kupata the right woman utahitaji nidhamu, Sio kutapika kila hisia inayokuja moyoni mwako
 
WHY HAS SHE UNBLOCKED ME? WITHOUT LETTING ME KNOW THAT SHE HAS UNBLOCKED ME?
Huo ni Mtego amekuwekea, na anajua ulivyo FALA lazima utanasa kwenye hio ndoano yake. Kitu ambacho hadi sasa ni KWELI, UMESHANASA.

Aina hio ya Wanawake huwa wanapenda sana kuwaendesha na kuwapelekesha Wanaume ambao hamjakomaa kiakili kama wewe, so hio Block & Unblock ni manipulation way ya kukufanya usiache kumuwaza(Yaani anakuwa anakupa kitu cha kumuwaza ili usimsahau, aliona ukizoea Block utamsahau so ana Unblock ili kurudisha attention yako kwake) Kitu ambacho huyo Binti AMEFANIKIWA 100% HADI SASA.

USHAURI.
Mkuu KAMWE huwezi kufanikiwa ambapo Mwanaume mwenzako ameshindwa, You are not that Special kama unavyojifikira. Acha kujipa umuhimu sehemu USIYOHITAJIKA, ni dalili ya kukosa kazi, Uvivu, Uzembe, Ujinga na kukosa Upendo kwenye Familia yako.

Mtu akishakuwa na mtoto huyo ni NO GO ZONE, achana nae na kaa nae mbali sana, huyo ni MKE WA MTU tayari.

Be a Man, Isipokufaa Akili yako basi Utakudhuru Ujinga wako.
 
Jamaa achukue huu ushauri aufanyie kazi
 
Mkuu Will Jr kwenye mapenzi alway kinachowaangamiza watu ni tamaa kali na wivu vilivyojaa moyoni ndivyo hupelekea mpaka watu kuuana..
Hapo huwa haitumiki akili na ukisema nidhamu sio kila mmoja wetu hapa ulimwenguni ataitumia vyema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…