Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
na wewe m-block na wewe ni zamu yako sasa
Akifanya hivo atamchanganya kichizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe m-block na wewe ni zamu yako sasa
Nakubali mawazo yako, lakini mapenzi yanatuhitaji wanaume tuwe viongozi, maana yake tuweke hisia kando na tutumie akili pale inapobidi, hisia zinatufanya wanaume tupoteze nguvu kwa mambo ya kawaida, hoja yako kusema mtu awe huru kufeel anachotaka naona haina tija kwa sababu wanaume tumeumbiwa nidhamu, hakuna kitu kizuri utapata bila nidhamu, uwezo wa kuzuia hisia unahitaji nidhamu. Kupata the right woman utahitaji nidhamu, Sio kutapika kila hisia inayokuja moyoni mwakoWill Jr, maisha yako hivyo tu huwezi kuwa serious sana mkuu.
Kila mtu anaishi vile moyo unavyomsukuma kifupi mwamba yuko sawa maana yeye ndiye anaijua taste ya situation hiyo.
Na wewe pia uko sawa kwa kumuona mwamba hivyo ulivyomchukulia maana haujui taste ya situation yake so utahukumu vyovyote vile ni sawa.
Ila ukweli usemwe kila mtu hapa duniani iwe ke kwa me, wote tunafeel lonely, Guilty na kumiss baadhi ya old days. And we all get stupid when in deep love.
Kuna muda ke kwa me wanatutumua misuli kuaminisha wengine kuwa hawapotezi sense zao kwaajili ya mapenzi but at the end hao watu ni wajinga sana katika mapenzi.
Kuweni huru kwenye mapenzi na kumpenda mwenzio kupita kiasi sio ubwege bali ni ushupavu maana huigizi zaidi ya kuuachilia moyo katika uhalisia wake..
Huo ni Mtego amekuwekea, na anajua ulivyo FALA lazima utanasa kwenye hio ndoano yake. Kitu ambacho hadi sasa ni KWELI, UMESHANASA.WHY HAS SHE UNBLOCKED ME? WITHOUT LETTING ME KNOW THAT SHE HAS UNBLOCKED ME?
Jamaa achukue huu ushauri aufanyie kaziHuo ni Mtego amekuwekea, na anajua ulivyo FALA lazima utanasa kwenye hio ndoano yake. Kitu ambacho hadi sasa ni KWELI, UMESHANASA.
Aina hio ya Wanawake huwa wanapenda sana kuwaendesha na kuwapelekesha Wanaume ambao hamjakomaa kiakili kama wewe, so hio Block & Unblock ni manipulation way ya kukufanya usiache kumuwaza(Yaani anakuwa anakupa kitu cha kumuwaza ili usimsahau, aliona ukizoea Block utamsahau so ana Unblock ili kurudisha attention yako kwake) Kitu ambacho huyo Binti AMEFANIKIWA 100% HADI SASA.
USHAURI.
Mkuu KAMWE huwezi kufanikiwa ambapo Mwanaume mwenzako ameshindwa, You are not that Special kama unavyojifikira. Acha kujipa umuhimu sehemu USIYOHITAJIKA, ni dalili ya kukosa kazi, Uvivu, Uzembe, Ujinga na kukosa Upendo kwenye Familia yako.
Mtu akishakuwa na mtoto huyo ni NO GO ZONE, achana nae na kaa nae mbali sana, huyo ni MKE WA MTU tayari.
Be a Man, Isipokufaa Akili yako basi Utakudhuru Ujinga wako.
Mkuu Will Jr kwenye mapenzi alway kinachowaangamiza watu ni tamaa kali na wivu vilivyojaa moyoni ndivyo hupelekea mpaka watu kuuana..Nakubali mawazo yako, lakini mapenzi yanatuhitaji wanaume tuwe viongozi, maana yake tuweke hisia kando na tutumie akili pale inapobidi, hisia zinatufanya wanaume tupoteze nguvu kwa mambo ya kawaida, hoja yako kusema mtu awe huru kufeel anachotaka naona haina tija kwa sababu wanaume tumeumbiwa nidhamu, hakuna kitu kizuri utapata bila nidhamu, uwezo wa kuzuia hisia unahitaji nidhamu. Kupata the right woman utahitaji nidhamu, Sio kutapika kila hisia inayokuja moyoni mwako