Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUTO KUSHUKURU KWA BINTI HUYU MWENYE ROHO YA KIPEKEE.. USIKU WA TAR 8 DECEMBER, NILIPATA TUZO YA KUWA MBUNIFU BORA WA MAVAZI YA KIUME TANZANIA..... NI KITU KIKUBWA SANA KWANGU AND SIKUJUA KAMA WEMA SEPETU AMEGUSWA NA USHINDI WANGU... USIKU HUO HUO ALINIITA NYUMBANI NA KUNIKABIDHI TICKET YA NDEGE PAMOJA NA ALL TH RESERVATION.. SIKUAMINI NA NIKAHISI KAMA NADANGANYWA HIVI.. AS...UBUHI THE NEXT DAY MARK X NYEUSI ILINIFATA NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA AIRPORT.. MPAKA NAINGIA NDANI YA NDEGE NILIKUWA KAMA MASIHARA HIVI.. MAANA WEMA HAISHI VISA... AISEE NILIKUTANA NA SETI YA PURE SILVER TWO RINGZ PAMOJA CHENI YAKE NILIPOFIKA HOTELINI... PAMOJA NA VOCHER YA KUSHOP... DO I HAVE TO SAY IT ALL AND THEM PRICES?? NO WAY ACHA IBAKI KUWA HIVYO.. BATA LILIKUWA NDEFU KWANI NA YEYE ALIKUWEPO... MPAKA NIMERUDI DAR NAJIONA KAMA VILE IT WAS JUST SIMULIZI SIO KWELI IMETOKEA ILA NDO IMEKUWA HIVYO.... MUCH LOVE TO HER AND HER FUTURE LOVE MAANA WAO NDO WAMELIPIGIA GHARAMA ZANGU NZIMA