Why i kissed Wema Sepetu?

Why i kissed Wema Sepetu?

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
262888_10151416055470127_335077002_n.jpg
WHY I KISSED WEMA SEPETU?? HILO NI SWALI NIMEULIZWA NA WATU WENGI... AND NIMEONA BAADHI YA MAGAZETI YAMESEMA NILIKACHA SHOW NA KWENDA KUMBUSU WEMA.... KIUKWELI HUYU MSICHANA AMEKUWA AKINIPA NGUVU SANA KATIKA KUFANYA KAZI ZANGU.. ALWAYS WEMA AMEKUWA AKINIAMBIA NIMEKUWA NIKITUMIA MUDA MWINGI KATIKA KAZI ZAKE AND I SHOULD FOCUS ON MY CAREER AS WELL.. KITENDO CHA KUMUONA KATIKA SHOW SIJUI HATA NIELEZE VIPI JINSI NILIVYOJISIKIA.. I HAD TO GO AND HUG HER.... NAKUPENDA SANA WEMA SEPETU HATA KESHO IKITOKEA AM NO LONGER YA MANAGER AND U HAVE MOVED ON WITH YOU LIFE TAMBUA NATHAMINI SANA MCHANGO WAKO KATIKA KAZI YANGU.. ALTHOUGH WE NI MSUMBUFU SANA ILA NAKUPENDA SANA TU.


SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUTO KUSHUKURU KWA BINTI HUYU MWENYE ROHO YA KIPEKEE.. USIKU WA TAR 8 DECEMBER, NILIPATA TUZO YA KUWA MBUNIFU BORA WA MAVAZI YA KIUME TANZANIA..... NI KITU KIKUBWA SANA KWANGU AND SIKUJUA KAMA WEMA SEPETU AMEGUSWA NA USHINDI WANGU... USIKU HUO HUO ALINIITA NYUMBANI NA KUNIKABIDHI TICKET YA NDEGE PAMOJA NA ALL TH RESERVATION.. SIKUAMINI NA NIKAHISI KAMA NADANGANYWA HIVI.. AS...UBUHI THE NEXT DAY MARK X NYEUSI ILINIFATA NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA AIRPORT.. MPAKA NAINGIA NDANI YA NDEGE NILIKUWA KAMA MASIHARA HIVI.. MAANA WEMA HAISHI VISA... AISEE NILIKUTANA NA SETI YA PURE SILVER TWO RINGZ PAMOJA CHENI YAKE NILIPOFIKA HOTELINI... PAMOJA NA VOCHER YA KUSHOP... DO I HAVE TO SAY IT ALL AND THEM PRICES?? NO WAY ACHA IBAKI KUWA HIVYO.. BATA LILIKUWA NDEFU KWANI NA YEYE ALIKUWEPO... MPAKA NIMERUDI DAR NAJIONA KAMA VILE IT WAS JUST SIMULIZI SIO KWELI IMETOKEA ILA NDO IMEKUWA HIVYO.... MUCH LOVE TO HER AND HER FUTURE LOVE MAANA WAO NDO WAMELIPIGIA GHARAMA ZANGU NZIMA
 
smile kweli wema siyo mchezo,
jamaa kapelekwa juu juu kama anapelekwa machinjioni loh.
piga mwanaume suprizi la nguvu mamake mwenyewe hajawai kupewa ila sio fair bana wema unafadhili mbuzi? Hiyo hela angewapa ndugu zake bwana ,wanaume shukrani yao kupasuka moyo
 
nampenda wema ana roho nzuri kama jina lake. She is down to earth girl..very kind tofaut na magazet ya hoka shigongo-pid
 
Smile hawa watu wetu ndivyo walivyo,
wakipata wanatumia bila daftari.

piga mwanaume suprizi la nguvu mamake mwenyewe hajawai kupewa ila sio fair bana wema unafadhili mbuzi? Hiyo hela angewapa ndugu zake bwana ,wanaume shukrani yao kupasuka moyo
 
Last edited by a moderator:
nampenda wema ana roho nzuri kama jina lake. She is down to earth girl..very kind tofaut na magazet ya hoka shigongo-pid
mi mwenyewe namlike kwa kweli
 
wema anaroho nzuri siyo mchoyo kabisa toka anasoma academy na malaysia pia,siyo mchoyoooooooo mkiomba mnapewa,abarikiwe
 
ela ametafta mwenyewe sitaki mpangia matumizi lakini masikini huyu dada angewekeza pia maana siku akichoka zikakata atakumbuka bata sana na aliowapa bata watakuwa pembeni wakimcheka.....
 
alishawai kukupa?

alishawai kumpa rafiki yangu wa karibu,ilikuwa kuala lumpur,malaysia 2008,mimi sikuomba ni vile sikuwa na shida,ndio maana nasema ana roho nzuri,namjua vizuri sana nilikuwa mtu wake wa karibu kama rafiki wa kawaida tu,kuna siku alipataga ajali ilikuwa malaysia walikodi gari na wenzake sasa night wako tungi wakapata ajali nilifunga safari kwenda kumjulia hali
 
Inaelekea huyu demu watu wengi wanamtamani humu,maana haipiti wiki bila kutajwa na wadau.
 
Huyo ni martin kadinda au????
Picha sijaiona vizuri
 
ela ametafta mwenyewe sitaki mpangia matumizi lakini masikini huyu dada angewekeza pia maana siku akichoka zikakata atakumbuka bata sana na aliowapa bata watakuwa pembeni wakimcheka.....


Ajifunze toka kwa Sinta kwa jinsi anavyohaha kuridi katika chat, lakini sura haitaki.
 
Back
Top Bottom