Why I'm Afraid of Marriage??

Why I'm Afraid of Marriage??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Nita list ambazo ni zangu..

Na ww weka zako

1-Freedom

2-Losing in love

3-Fear of being controlled

4-Responsibility - the biggest scare
 
duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha
 
Pole ulitakiwa kabla hujaamua kuoa uwe umeamua na kukubali moyoni mwako kwa lolote litakalo tokea ukabiliane nalo. halafu utakuwa humpendi huyo unayemuoa kwa nini unaogopa?
 
duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha
.
Kasomee upadre
 
Yaani hapo ndo penye mtihani kuliko hata wa uprofesa.

hahaha kabisa yan kongosho, chosing a wrong partner ni biggest mistake ktk maisha hapo tuu....!
kuliko ilo bora ubaki pekeako tuu.
 
Yaani hapo ndo penye mtihani kuliko hata wa uprofesa.[/QUOT

mmh ila watu siku izi wana udhubutu si wanawake si wanaume, akiona giza anaachia ngazi mapema..... ...!
 
duh hata mimi i am afraid mbaya mwezi june naoa na proccess zishaanza nimejaribu kusitisha imeshindikana yaan wamekaza kamba naogopa kuoa, i am afraid kuwa mtu mwingine am happy jinsi nilivyo najua marriage itanibadilisha

pole kijana maji ushayavulia nguo huna budi kuyaoga
 
mimi siogopi duuh i dont know why i dont even afraid
 
Why afraid?? ok first thing to know, getting married is like jumping off a cliff with hope to land on soft place, thou you may hit on the rock you can rise up and do it again!!
 
Back
Top Bottom