HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hizo data za computer zisizozidi milioni tano na smartphones milioni 10 umepata wap? Hata mchina hawana? Wewe choko kweli..Na kwann utumie population ya 2012! Tupo milioni 50 sasa na kuna wengi wanaotumia internet chini ya Miaka 18 . Na Halotel wanaosambaza Internet vijijini tena bure mashule ni na mahospitalini. Na bei karibu ya bure kwa mobile internet
We jamaa hujielewi na ndio maana waishia matusi
Ndio maana wakenya wanakuonaga hamnazo