Why is it sex first marriage next?

πŸ˜…πŸ˜…sikutaki Tena tuachane tuuπŸ™…πŸ™‹
Duh! Mi bado nakutaka na ninakupenda huyo alieandika huko juu ni shetani tu alinipitia mpenzi nisamehe tugange yajayo my lovie wa huba.. nyonga mkalia ini πŸ˜πŸ˜‰
 
Duh! Mi bado nakutaka na ninakupenda huyo alieandika huko juu ni shetani tu alinipitia mpenzi nisamehe tugange yajayo my lovie wa huba.. nyonga mkalia ini πŸ˜πŸ˜‰
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŠπŸ™†πŸ˜³πŸ€¦njoo chukua na pesa zako ulizokuwa unanipa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŠπŸ™†πŸ˜³πŸ€¦njoo chukua na pesa zako ulizokuwa unanipa
He he! Najua huwezi niacha maana penzi langu zaidi ya pesaπŸ˜‰
We Sasa acha mbachao kwa msala upitao uone..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]🀦[emoji134] kmmk nimecheka Sana jmn Sasa hiyo ndo nn khaaa

Hiyo ndio dudu ya mumeo wa ndoa mlioona bila kutest, Yan ukiona mwanaume anakubali kuoana bila kufanya sex weka doubt sababu naturally wanaume wanapenda sex, yan hapo ni kama anakuwa anakuuzia mbuz kwenye gunia.

NB: Siwez kukubali relationship bila sex yan hata huyo mwanamke awe malaika.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
naunga mkono hoja et nisitest mtambo weee Nan kasema lazma tuonjane kwanza kama mambo yenyewe ndo kama hayo duhπŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe sema ooooh sijui mimi sitaki kutest. Uje uolewe na mwanaume ana inchi 2 halafu ana kitambi.

My friend usianze kutafuta mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…