Why is it sex first marriage next?

Why is it sex first marriage next?

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…sikutaki Tena tuachane tuu๐Ÿ™…๐Ÿ™‹
Duh! Mi bado nakutaka na ninakupenda huyo alieandika huko juu ni shetani tu alinipitia mpenzi nisamehe tugange yajayo my lovie wa huba.. nyonga mkalia ini ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‰
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Š๐Ÿ™†๐Ÿ˜ณ๐Ÿคฆnjoo chukua na pesa zako ulizokuwa unanipa
 
He he! Najua huwezi niacha maana penzi langu zaidi ya pesa๐Ÿ˜‰
We Sasa acha mbachao kwa msala upitao uone..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]๐Ÿคฆ[emoji134] kmmk nimecheka Sana jmn Sasa hiyo ndo nn khaaa

Hiyo ndio dudu ya mumeo wa ndoa mlioona bila kutest, Yan ukiona mwanaume anakubali kuoana bila kufanya sex weka doubt sababu naturally wanaume wanapenda sex, yan hapo ni kama anakuwa anakuuzia mbuz kwenye gunia.

NB: Siwez kukubali relationship bila sex yan hata huyo mwanamke awe malaika.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
naunga mkono hoja et nisitest mtambo weee Nan kasema lazma tuonjane kwanza kama mambo yenyewe ndo kama hayo duh๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Wewe sema ooooh sijui mimi sitaki kutest. Uje uolewe na mwanaume ana inchi 2 halafu ana kitambi.

My friend usianze kutafuta mchawi.
 
Back
Top Bottom