Why is it sex first marriage next?

Mm demu ata nimpende vip akisha niambia hadi ndoa basi apo naweka X.

Pesa nitoe kabla ndoa harafu papuchi hadi ndoa huo tunaitwa kichwa wendawazimu
 
Unataka kubana,una bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm demu ata nimpende vip akisha niambia hadi ndoa basi apo naweka X.

Pesa nitoe kabla ndoa harafu papuchi hadi ndoa huo tunaitwa kichwa wendawazimu
kama humhudumii kwa chochote inakuaje hapo
 
Why is it sex first marriage next?
Hii ni procedure kama zlivo procedure zngne katika tafiti.........kwny survey hii tunaita pre-visting survey.
 
Why is it sex first marriage next?
Hii ni procedure kama zlivo procedure zngne katika tafiti.........kwny survey hii tunaita pre-visting survey.
imagine huyu ni mtarajiwa wako mwenye vigezo(wife material) vilivyokuvutia hadi ukawaza kumuoa. kubana kwake 1 kutakufanya uDelete yale mengine 99 ?
 
SEX first, MARRIAGE next. It's the law of modern nature.
 
Hiyo kanuni ya kijinga. Mwanamke anakua affected zaidi. Haya atalala na wangapi ili ampate huyo wa kumuoa. Ni kanuni ya kibinafsi sana inayokua promoted na wanaume wanaotaka kula tunda kimasihara.
Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
ko hata akiwa na qualifications zote za kuwa wife material show mbovu itamkosesha mume?
Yani hio ni sawa na kuulizia vumbi stoo. Tena kwa hawa vijana waliozaliwa awamu ya 4 ndio kabisaaa!🤣🤣🤣
 
Kwani unafikiri issue kubwa huwa ni kutest? Tatizo siku hizi penzi halinogi bila hako kamchezo! Labda wakutane wote wako silidi
Sasa utamuitaje mtu mpenzi kama hamjavuana vijasti-bikozi 😆? Ni sawa na kujiita muislamu wakati hufati nguzo 5 za kiislamu.
 
Mm demu ata nimpende vip akisha niambia hadi ndoa basi apo naweka X.

Pesa nitoe kabla ndoa harafu papuchi hadi ndoa huo tunaitwa kichwa wendawazimu
Mahusiano ya ME na KE bila kulana mchebwede, hio ni sawa na kaka na dada wa kiroho. Tena mkifanya mahaba ya kipuuzi mbele yangu nawakata mabao...Shwaini!
 
Sasa wao kama wanakula nauli kimasihara, wanasuka nywele kimasihara, wanapewa vocha kimasihara, wanalipiwa kodi kimasihara basi shurti nao waliwe tunda kimasihara. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…