Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kubana,una bikra?Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Why is it sex first marriage next?Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
imagine huyu ni mtarajiwa wako mwenye vigezo(wife material) vilivyokuvutia hadi ukawaza kumuoa. kubana kwake 1 kutakufanya uDelete yale mengine 99 ?Why is it sex first marriage next?
Hii ni procedure kama zlivo procedure zngne katika tafiti.........kwny survey hii tunaita pre-visting survey.
kuja jaama angu alikuwa zanzibar anasema watoto bikira wako wengi kumbe wanatest mitambo kwa mtandao ulioboreshwa zaid na ofa kabambe tigoSEX first, MARRIAGE next. It's the law of modern nature.
false fact mkuu
Yani hio ni sawa na kuulizia vumbi stoo. Tena kwa hawa vijana waliozaliwa awamu ya 4 ndio kabisaaa!🤣🤣🤣ko hata akiwa na qualifications zote za kuwa wife material show mbovu itamkosesha mume?
We unamchukia mkuu, mi namuacha kabisa 🤣🤣🤣❕Huwa namchukia Sana demu anaenikazia eti kisa atanipa nikisha muoa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utamuitaje mtu mpenzi kama hamjavuana vijasti-bikozi 😆? Ni sawa na kujiita muislamu wakati hufati nguzo 5 za kiislamu.Kwani unafikiri issue kubwa huwa ni kutest? Tatizo siku hizi penzi halinogi bila hako kamchezo! Labda wakutane wote wako silidi
Mahusiano ya ME na KE bila kulana mchebwede, hio ni sawa na kaka na dada wa kiroho. Tena mkifanya mahaba ya kipuuzi mbele yangu nawakata mabao...Shwaini!Mm demu ata nimpende vip akisha niambia hadi ndoa basi apo naweka X.
Pesa nitoe kabla ndoa harafu papuchi hadi ndoa huo tunaitwa kichwa wendawazimu
Sasa wao kama wanakula nauli kimasihara, wanasuka nywele kimasihara, wanapewa vocha kimasihara, wanalipiwa kodi kimasihara basi shurti nao waliwe tunda kimasihara. 🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo kanuni ya kijinga. Mwanamke anakua affected zaidi. Haya atalala na wangapi ili ampate huyo wa kumuoa. Ni kanuni ya kibinafsi sana inayokua promoted na wanaume wanaotaka kula tunda kimasihara.
Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.
Sent From Galaxy S20 Ultra